Laptop, Smartphone na begi la laptop vinauzwa

Laptop, Smartphone na begi la laptop vinauzwa

ELAFU

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
410
Reaction score
151
Haya sasa jamani sina bei. Nauza laptop aina ya DELL INSPIRON (N5040) yenye Hard disc 400GB, RAM 3, Processor 2.53 GHz, charge inakaa zaidi ya masaa 3, haijatumika sana na bado ni mpyaaaa....
Bei 350,000/=
Smartphone ndo hii. NOKIA 310 inayokaa na charge muda mrefu, whatsapp na applications kibao na ofa ya memory card ya 4 GB, touch screen na ipo katika hali nzuri kabisa.
Bei 120,000/= tu
Begi la laptop ni kubwa, jeusi na mikanda imara. Lina muonekano mzuri sana na ni la kudumu
Bei 15,000/= tu!
Mzigo wote upo Dar, na kinauzwa kimoja kimoja; sio lazima ununue vyote
0768932789
0659528724
 
beg kama ni zuri na imara kama unavyosema, nicheki kesho posta 2malize bei au kama unaweza njoo leo kgamboni vjibwen. ntakupm namba sasa hv
 
Wa Mikoani Tutapataje ?

Kama una ndugu, jamaa au rafiki Dar nadhani anaweza akawa balozi mzuri kwako. Atanunua kwangu then akupostie. Otherwise nicheki kwenye simu
 
Wa Mikoani Tutapataje ?

Kama una ndugu, jamaa au rafiki Dar nadhani anaweza akawa balozi mzuri kwako. Atanunua kwangu then akupostie. Otherwise nicheki kwenye simu
 
Hiyo simu nikupe 50k tu na begi 10k,kama vp weka mpesa nkutumie 60k nimuagize jamaa aje kuchukua.
 
Hiyo simu nikupe 50k tu na begi 10k,kama vp weka mpesa nkutumie 60k nimuagize jamaa aje kuchukua.

Hata kama ndo umetoka kuhitimu negotiation skills kaka ila application yake haiko hivyo. Mtu anaweza dhani unatania au unadharau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom