Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,791
Mkuu bei ya dukani kwa Dell co i3 ni 650,000 utaona hapo nimepunguza kama laki hivi...
Chukua 400 mkuu
Duh ni noma basi ngoja nipunguze..., Vp kwa 500..??
hiyo bei ni reasonable kabisa.. cheersLAPTOP...! LAPTOP...! LAPTOP...!
NI DELL INSPIRION 15: CO i3
*RAM 4 GB
**PROCESSOR 1.8 GHZ
***HDD 500 GB
PIA INA PROTECTIVE COVER KWA JUU
KEYBOARD PROTECTOR
SCREEN PROTECTOR
INA WARANTEE YA MIEZI 6 NA IMECHUKUA TAKRIBANI MIEZI 6 TANGU INUNULIWE DUKANI (ILIKUWA NA WARANTEE YA MWAKA 1 KUTOKA DUKANI)
HAISUMBUI NA IKO KWENYE MAZINGIRA MAZURI
UTAPIGIWA WINDOWS YOYOTE UTAKAYOTAKA PINDI UTAKAPONUNUA KATI YA (WINDOW 7 AINA YOYOTE, 8 AU 8.1)
BEI YA PROMOTION NI SHS 500,000/=
PIA RECEIPT YAKE NILIYONUNULIA DUKANI IPO UKIITAJI KUIONA.
(((AMBAPO BEI YA DUKANI NI SHS 650,000 + PROTECTIVE COVER 10,000 = 660,000)))
Mawasiliano: Simu: 0769977222
View attachment 260464View attachment 260466View attachment 260468View attachment 260469
Kijana naona muda wa kodi umefika sasa unasukuma assets. 250000. Nikutafute