Poa Kamanda, najua haina maslahi kwako lakini ndo vile tena usawa umekaba!!!It is, lakini kwa bei hiyo hapana.
Maisha haya kiongozi hiyo huwezi kuita "kukanunua...!" bali ulijitutumua "kulinunua" hilo li-Latitude manake ni heavy duty hiyo kitu; sema ndo vile tu!!Naelewa Kaka, nilijitutumua kweli kukanunua nataka ku recover, kama nitabadikilka nitakwambia.
Maisha haya kiongozi hiyo huwezi kuita "kukanunua...!" bali ulijitutumua "kulinunua" hilo li-Latitude manake ni heavy duty hiyo kitu; sema ndo vile tu!!
Mkuu, nikikuacha Leo ntakuwa naidhurumu nafsi... Huwa nafuatilia sana komenti zako kwenye mambo ya uuzaji na ununuzi...Laki moja na thelathini?!..
Mwana mi nimekuuliza tu nikidhani umekosea... kwani 1.3 ni bei za MACBOOK.... na kama kuuliza kwangu ni dharau, basi hata huyo jamaa uliyemwambia 1.3 na yeye akakwambia ana 500k basi naye kakudharau.Mkuu, nikikuacha Leo ntakuwa naidhurumu nafsi... Huwa nafuatilia sana komenti zako kwenye mambo ya uuzaji na ununuzi...
For sure Kiongozi una dharau sana, badikika Mkuu, maisha hayako hivyo.
Mtu anapotangaz biashara yake, Jaribu kuwa muelewa...
Haipendezi....
Mwana mi nimekuuliza tu nikidhani umekosea... kwani 1.3 ni bei za OMAC.... na kama kuuliza kwangu ni dharau, basi hata huyo jamaa uliyemwambia 1.3 na yeye akakwambia ana 500k basi naye kakudharau.
Imenichukua muda mrefu kujifunza tabia hii... tenaUsijitetee una dharau, na ur close minded, kama 1.3m ni bei za OMAC (whatever you mean), doesn't mean hakuna brand nyingine za bei hiyo. Kuna dell/hp na other brand za mpaka 4m/laptop. Uache ujinga. Afterall hapo juu umeambiwa mtu kanunua laptop yake kwa $800, kumwambia laki na thelathin is a very serious Joke. NI HAYO tu ndugu yandu, BADILIKA KAMA MKUU ALIVYOSEMA.
Imenichukua muda mrefu kujifunza tabia hii... tena
walimu wakiwa ni members wa jf... naweza kubadilika kama mnachokiita dharau ninazokutana nazo humu zitaisha... otherwise endeleeni kunivumilia.
Duh! Hivi unaweza kulinganisha 130K na 500K?! Hivi huoni kabisa kwamba niliyetaja 500K nia ilikuwepo kabisa sema tatizo ndo tatizo lenyewe la kuishia kutaja 500K?!! Hivi seriously unaweza kusema with confidence ulikuwa serious uliposema 130K out of 1.3M?!Mwana mi nimekuuliza tu nikidhani umekosea... kwani 1.3 ni bei za MACBOOK.... na kama kuuliza kwangu ni dharau, basi hata huyo jamaa uliyemwambia 1.3 na yeye akakwambia ana 500k basi naye kakudharau.
Nizoeeni wana... mi bidhaa zote ninazonunuaga jf, huwa nanunuaga kwa masihara.... so masihara yananisaidiaga kwa kweli..Duh! Hivi unaweza kulinganisha 130K na 500K?! Hivi huoni kabisa kwamba niliyetaja 500K nia ilikuwepo kabisa sema tatizo ndo tatizo lenyewe la kuishia kutaja 500K?!! Hivi seriously unaweza kusema with confidence ulikuwa serious uliposema 130K out of 1.3M?!
Nah man, tuwe wakweli bhana; umeleta masihara kwenye biashara za watu!!!
Mkuu hiyo mac book gani ya 1.3 au unazungumzia dola sio Tsh? Kwa bei hiyo ni chinese black market sio original. Kwa del latitude aliyoitaja hiyo bei ndio sahihi semanayeye tatizo lake secondhand product anataka kuuza kama brand new product.Mwana mi nimekuuliza tu nikidhani umekosea... kwani 1.3 ni bei za MACBOOK.... na kama kuuliza kwangu ni dharau, basi hata huyo jamaa uliyemwambia 1.3 na yeye akakwambia ana 500k basi naye kakudharau.