Laptop keyboard Problem

LAT

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
4,400
Reaction score
1,317
wana jf

naomba msaada kwani nikiwa na type inatoke namba 3 na kujityp3e yenyewe mara nyingi bila kusimama ... mp3aka nitumie backsp3ace ndio inarudi lakini hujirudia tena ..... ninapo press no.3 button haitoi kitu na ninapo bonyeza no. 1 button number moja huandika na kufuatiwa na number tatu zikifululiza kuandika bila kuacha

is this keyboard p3333roblem or virus or what

please help3 me out as i am also very remote now
 

iangalie vizuri hiyo key namba 3 yako. jaribu kuisafisha safisha na hakikisha haijajibonyeza. tatizo kama hilo mara nyingi linatokea ikiwa key moja wapo imejibonyeza. hiyo key namba 3 kwako inaonekana kama imebakia active kwa kubaki imebonyea.
 
Fungua uisafishe hiyo keyboard ni chafu so unapotaipu taarifa zinachelewa kupelekwa kwenye proccessor kutokana na vumbi kujaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…