Chukua dell,kwa sababu moja TU.....ni Core i3 which means ina processor nne zaidi ya zile mbili za duo core processor,so permanent ya hiyo PC ni faster kwa kazi za kawaida ....ram sio ishu coz umesema zinafanana pia unaweza kuongeza bila tatizo...Kama unataka. Brand chagua Lenovo they are the best,check hat online hapo,dell wana tatizo kwenye batteries zina kufa mapema au hazikai sana na chaji, hp zinapata moto sana.

Habari wana jukwaa, Leo nilikwenda town (city center) kununua new brand laptop. Baada ya kupitia maduka kadhaa kuna brand kama 4 hivi nimevutiwa nazo japo specifications zake zinafanana lakini zimatofautiana bei, nikaamua nisitishe zoezi kwanza ili nipate ushauri. Brand nilizopata ni Dell 3521, processor, INTEL CORE i3 ambayo bei yake ni 635,000, Hp 2000 INTEL CORE bei yake ni 510,000, Accer E1-531, INTEL DUAL CORE, bei yake ni 515,000, na Lenovo G500 INTEL CELERON, bei yake ni 520,000. Specifications zake nyingine zinafanana: screen ni 15.6", Ram 2 gb hdd 500 gb. Naombeni ushauri nichukue ipi ambayo haina usumbufu.
Hebu tufafanulie zaidi hapo kwenye blue na red. The top 10 Best Laptops "http://www.pcmag.com/article2/0,2817,2369981,00.asp" Inaonenyesha Lenova ni ya chini sn 8 na 9 kati ya 10.Chukua dell,kwa sababu moja TU.....ni Core i3 which means ina processor nne zaidi ya zile mbili za duo core processor,so permanent ya hiyo PC ni faster kwa kazi za kawaida ....ram sio ishu coz umesema zinafanana pia unaweza kuongeza bila tatizo...Kama unataka. Brand chagua Lenovo they are the best,check hat online hapo,dell wana tatizo kwenye batteries zina kufa mapema au hazikai sana na chaji, hp zinapata moto sana.
Habari wana jukwaa, Leo nilikwenda town (city center) kununua new brand laptop. Baada ya kupitia maduka kadhaa kuna brand kama 4 hivi nimevutiwa nazo japo specifications zake zinafanana lakini zimatofautiana bei, nikaamua nisitishe zoezi kwanza ili nipate ushauri. Brand nilizopata ni Dell 3521, processor, INTEL CORE i3 ambayo bei yake ni 635,000, Hp 2000 INTEL CORE bei yake ni 510,000, Accer E1-531, INTEL DUAL CORE, bei yake ni 515,000, na Lenovo G500 INTEL CELERON, bei yake ni 520,000. Specifications zake nyingine zinafanana: screen ni 15.6", Ram 2 gb hdd 500 gb. Naombeni ushauri nichukue ipi ambayo haina usumbufu.
Habari wana jukwaa, Leo nilikwenda town (city center) kununua new brand laptop. Baada ya kupitia maduka kadhaa kuna brand kama 4 hivi nimevutiwa nazo japo specifications zake zinafanana lakini zimatofautiana bei, nikaamua nisitishe zoezi kwanza ili nipate ushauri. Brand nilizopata ni Dell 3521, processor, INTEL CORE i3 ambayo bei yake ni 635,000, Hp 2000 INTEL CORE bei yake ni 510,000, Accer E1-531, INTEL DUAL CORE, bei yake ni 515,000, na Lenovo G500 INTEL CELERON, bei yake ni 520,000. Specifications zake nyingine zinafanana: screen ni 15.6", Ram 2 gb hdd 500 gb. Naombeni ushauri nichukue ipi ambayo haina usumbufu.
CorrectionsUGOKO MKAVU ni hivi kaka....duo core Ina processor 2, core i3 Ina processor nne, I 5 Ina Sita na i7 Ina nane...sijui kwa nini zimepewa majina ya namna hiyo but huo ndio ukweli,jaribu kuchek mwenyewe kwa kuangalia ain't ya PC yako alafu bofya alt+ctrl+ del check namba za processor hapo
Nunua Dell kwa sababu tu ni core i3. kama utapata HP core i3...that would be my preference!Habari wana jukwaa, Leo nilikwenda town (city center) kununua new brand laptop. Baada ya kupitia maduka kadhaa kuna brand kama 4 hivi nimevutiwa nazo japo specifications zake zinafanana lakini zimatofautiana bei, nikaamua nisitishe zoezi kwanza ili nipate ushauri. Brand nilizopata ni Dell 3521, processor, INTEL CORE i3 ambayo bei yake ni 635,000, Hp 2000 INTEL CORE bei yake ni 510,000, Accer E1-531, INTEL DUAL CORE, bei yake ni 515,000, na Lenovo G500 INTEL CELERON, bei yake ni 520,000. Specifications zake nyingine zinafanana: screen ni 15.6", Ram 2 gb hdd 500 gb. Naombeni ushauri nichukue ipi ambayo haina usumbufu.
Misinformation!Chukua Dell, hizi HP na joto ni vitu viwili tofauti.
Core i3 is neither Quadcore nor Heptacore...!Chukua dell,kwa sababu moja TU.....ni Core i3 which means ina processor nne zaidi ya zile mbili za duo core processor
Mimi nadhani ni majina tu. Binafsi sipendi Dell. Nimetumia Acer, Samsung na sasa Lenovo. Nikiachana na Lenovo ninampango wa kununua Toshiba! Ni utashi tu.