Mkuu kwa mimi huwa na mashaka navyo na hasa kutoka kwa waswahili wenzangu maana huwa hatuchoki kwenda kila gerije kupigwa spana na akisha choka ndio hutangaza lakini vitu vya wazungu ni safi na wala havina muskili ni safi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.