Laptop inauzwa.

Laptop inauzwa.

Jitihada

Senior Member
Joined
Feb 6, 2011
Posts
155
Reaction score
10
Ni Dell Latitude D620.

Specifications!

>HDD 60GB.
>RAM 1GB

Bei maelewano.

Kwa mawasiliano zaidi tumia 0764485854.
 
bei yako juu sana haiendani na specification za laptop used kama hyo
 
Hilo neno lisikupe shida mteja maana najua mteja ni mfalme, ok bei yake ni laki 4.
Poa mazee. Ina hitilafu gani? Mbona bei imekuwa chee sana mazee? Ni mupya au used kwa sana?
 
Poa mazee. Ina hitilafu gani? Mbona bei imekuwa chee sana mazee? Ni mupya au used kwa sana?

usidhani kila laptop ni bei kubwa mzazi...hiyo ni okd model/fashioned...tena hata hiyo bei bado ni kubwa....
 
usidhani kila laptop ni bei kubwa mzazi...hiyo ni okd model/fashioned...tena hata hiyo bei bado ni kubwa....
Ndugu yangu mbona unamharibia mshkaji biashara yake? LOL
 
Back
Top Bottom