Laptop inauzwa bei chee

Laptop inauzwa bei chee

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,195
IMG-20190329-WA0022.jpeg
IMG-20190329-WA0023.jpeg
IMG-20190329-WA0024.jpeg
IMG-20190329-WA0025.jpeg

Laptop inauzwa Lenovo bado Mpya
Specifications
RAM 8 GB
64 Bit
Hard disk 1 Terabyte (1,000 GB)
Processor intel core i5 4200U CPU I.60GHz 2.30 GHz

Bei 550,000(550K) laki tano na Nusu,
Location Dodoma inatumwa popote ulipo.

Mawasiliano zaidi Njoo PM

CC Zero IQ
 
Naitaka laptop lkn kwa bei hiyo napata mpya dukani labda chukua laki 3 fasta
Laptop ata ukiwa na laki na nusu unapata lakini je Laptop utakayopata itakuwa na ukubwa gani namaanisha Ram, hard disk intel na Nk,

Umesoma vyema specification ya hiyo Laptop ukipata dukani yenye uwezo kama hiyo chini ya Lakini nane njoo nikuuzie kwa laki tatu uliyonayo

Mzee ukubwa wa PC sio ram, hard disk .ukuwa wa PC ni processor. Ram Na hard disk vinaongezwa tu.. kwa wanao jua mashine akikupa 300k Shukuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Laptop ata ukiwa na laki na nusu unapata lakini je Laptop utakayopata itakuwa na ukubwa gani namaanisha Ram, hard disk intel na Nk,

Umesoma vyema specification ya hiyo Laptop ukipata dukani yenye uwezo kama hiyo chini ya Lakini nane njoo nikuuzie kwa laki tatu uliyonayo

CC Zero IQ
Mi nataka hiyo ya laki na nusu naipataje?siriaz bizinesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wewe umeona processor yake ndogo

CC Zero IQ
Shop tu PC yenye processor Intel(R)core!5-2410M CPU @2.50GHz 2.50GHz aiwez zidi 400k ikizingua ndani ya miezi 6 unapewa nyingene ... Kama iyo hard disk Na ram unaona ndo big issue zitoe .. unambiwa upewe 300k utaki .. hahahaha ban izo cd Na NYIMBO ndo kazi ya hard disk .
Graphics yake ngapi ? Generation ya ngapi?

Mkuu hiyo ni biashara yangu unataka niifanye kwa matakwa yako?

CC Zero IQ
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom