HP yenye features kama hizo ikiwa ni MPYA kabisa unaipata madukani, mfano M.City kwa 850,000 tu.
Kabla ujafanya matangazo mitandaoni, fanya kwanza utafiti wa bei ya soko.
By the way, hiyo sentensi ya "ukiwa mwanamke utafikiriwa" imeharibu sana tangazo lako. Next time, avoid that when advertising.