maheda0756
Senior Member
- Oct 27, 2016
- 107
- 156
Sijakuelewa unaposema uki connect charge bila kuzima ile taa ya kuonyesha ku charge.Wakuu poleni kwa Majukum nina laptop yangu ASUS. Hii machine inajizima yenyewe baada ya kuwaka. Isipojizima ukijaribu kuitingisha au kupiga juu ya keyboard kwa kishindo inajizima. Uki-connect charge bila kuzima ile taa ya kuonyesha kuchaji inawaka baada ya sec kadhaa inajizima. Wajuzi wa hizi kazi tusaidiane nn cha kufanya. Nipo Kilimanjaro kikazi ata sijui fundi mzuri nitampata wapi ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Makisio.Wakuu poleni kwa Majukum nina laptop yangu ASUS. Hii machine inajizima yenyewe baada ya kuwaka. Isipojizima ukijaribu kuitingisha au kupiga juu ya keyboard kwa kishindo inajizima. Uki-connect charge bila kuzima ile taa ya kuonyesha kuchaji inawaka baada ya sec kadhaa inajizima. Wajuzi wa hizi kazi tusaidiane nn cha kufanya. Nipo Kilimanjaro kikazi ata sijui fundi mzuri nitampata wapi ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikitika kukupa ukweli mchungu kuwa hio mashine ishakaanga motherboard na inapiga short circuitWakuu poleni kwa Majukum nina laptop yangu ASUS. Hii machine inajizima yenyewe baada ya kuwaka. Isipojizima ukijaribu kuitingisha au kupiga juu ya keyboard kwa kishindo inajizima. Uki-connect charge bila kuzima ile taa ya kuonyesha kuchaji inawaka baada ya sec kadhaa inajizima. Wajuzi wa hizi kazi tusaidiane nn cha kufanya. Nipo Kilimanjaro kikazi ata sijui fundi mzuri nitampata wapi ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ahsante sana kwa mchango wako, laptop inapokua ipo off ukichomeka waya wa kucharge(adapter) lazima kuna kitaa kimoja cha kuonyesha unacharg kitawaka. Sasa kwangu kitawaka lkn baada ya dk 2 kinazima.Sijakuelewa unaposema uki connect charge bila kuzima ile taa ya kuonyesha ku charge.
Ninavyo fahamu laptop ukiconnect charge taa inawaka kuonyesha sasa we unaizima vipi?
Halafu hili suala lazima uweke details.
Je ulinunua kwa mtu au dukani?
Je toka ulipoanza tumia ni baada ya tukio gani ikawa inafanya hivyo either ilianguka chini au?
Je kuna message yeyote inayotoa kabla haija shut down?
Lazima utoe much details ukizingatia mtaalam hana hiko kifaa mkononi.
Ahsante.
Hii charger niliinunua pamoja na laptop mkuu na nimeitumia kwa miaka miwili.Makisio.
Inawezekana cooling system imeshindwa kufanya kazi namaanisha fan yake haizunguki hivyo hupelekea laptop automatically kujizima tatizo hili utaona unapotumia laptop yako kwa muda inachemka sana lakini fan ukiisikiliza haizunguki au kwenye yale matundu ya kutoa upepo hauhisi upepo ukitoka pia tatizo hili muda mchache kabla haijazima utaona inatoa message.
Either ni charger unayotumia si sahihi.
Au RAM ndio tatizo mara nyingi inatoa mlio wa ku beep.
Kwa kuwa umesema ukiitingisha inazima inawezeka battery na terminal zake hazishikani vizuri na kuzima.
Ahsante kwa mchango wako boss samahani lkn unaweza kunijuza sababu zinazopelekea kuunguza motherboard?Nasikitika kukupa ukweli mchungu kuwa hio mashine ishakaanga motherboard na inapiga short circuit
Sababu huwa hazielewekagi but nina cases kama tatu mpaka sasa, ila tatizo huwa nahisi laptops za kuagiza nje ambazo ni European/American versions zinasumbua sana kwa mazingira ya huku kwetu nikimaanisha hali ya hewa huwa linachangia kwa kiasi kikubwa na pia flactuation ya umeme.Ahsante kwa mchango wako boss samahani lkn unaweza kunijuza sababu zinazopelekea kuunguza motherboard?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu sasa hii hakuna namna nyingine ya kufanya ili ipone?Sababu huwa hazielewekagi but nina cases kama tatu mpaka sasa, ila tatizo huwa nahisi laptops za kuagiza nje ambazo ni European/American versions zinasumbua sana kwa mazingira ya huku kwetu nikimaanisha hali ya hewa huwa linachangia kwa kiasi kikubwa na pia flactuation ya umeme.
1. Niliagiza sony vaio S series laptop ikaja kaa kwa miezi 5 tu ikawa imekaanga motherboard. Inasumbua kuwaka mara haiwaki au inachelewa sana. Ishu ilikuwa hio hapo.
2. Nikaja agiza dell 7500u best buy, nayo haikuchukua hata week mbili. Nmekaa na upgrade kwenda windows 10 ikazima.
3. Toshiba juzi tu kuna shemeji yangu amekuja oa anaishi US. Amenletea hio computer nayo imezima wakati najaribu kufanya upgrades.
Cha ajabu nilinunuaga acer brand new kariakoo nilikaaga nayo sana wala haikuwahi kunisumbua mpaka nikauza baada ya kukaa nayo miaka mitatu + , Tunadharugi vitu mkuu ila never buy laptop computer ambazo ni refurbished toka nje ama brand new umeme wa huku utazimaliza. Unless uwe na power surge
Hio kuiponesha ni kununua system board mpya na kuivalisha itakaa sawa tu.
Wakuu poleni kwa Majukum nina laptop yangu ASUS. Hii machine inajizima yenyewe baada ya kuwaka. Isipojizima ukijaribu kuitingisha au kupiga juu ya keyboard kwa kishindo inajizima. Uki-connect charge bila kuzima ile taa ya kuonyesha kuchaji inawaka baada ya sec kadhaa inajizima. Wajuzi wa hizi kazi tusaidiane nn cha kufanya. Nipo Kilimanjaro kikazi ata sijui fundi mzuri nitampata wapi ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
pole xanaWakuu poleni kwa Majukum nina laptop yangu ASUS. Hii machine inajizima yenyewe baada ya kuwaka. Isipojizima ukijaribu kuitingisha au kupiga juu ya keyboard kwa kishindo inajizima. Uki-connect charge bila kuzima ile taa ya kuonyesha kuchaji inawaka baada ya sec kadhaa inajizima. Wajuzi wa hizi kazi tusaidiane nn cha kufanya. Nipo Kilimanjaro kikazi ata sijui fundi mzuri nitampata wapi ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Makisio.
Inawezekana cooling system imeshindwa kufanya kazi namaanisha fan yake haizunguki hivyo hupelekea laptop automatically kujizima tatizo hili utaona unapotumia laptop yako kwa muda inachemka sana lakini fan ukiisikiliza haizunguki au kwenye yale matundu ya kutoa upepo hauhisi upepo ukitoka pia tatizo hili muda mchache kabla haijazima utaona inatoa message.
Either ni charger unayotumia si sahihi.
Au RAM ndio tatizo mara nyingi inatoa mlio wa ku beep.
Kwa kuwa umesema ukiitingisha inazima inawezeka battery na terminal zake hazishikani vizuri na kuzima.
Aiseee hii Pc naona Feni yake haizunguki kabisa, nifanyeje wakubwapole xana
1. nakushauri umpelekee fundi aifungue then aisafishe vizur kwa benzene au chemical yoyote ya kusafishia hasa eneo la procesor & fen
2. ikishindikana kwa njia hyo basi motherboard itakua na short aitafute na kuifix
Sasa hapo ni kuchunguzaAiseee hii Pc naona Feni yake haizunguki kabisa, nifanyeje wakubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu, pls ww ni fundi wa hivi vitu na unapatikana wapi?Sasa hapo ni kuchunguza
Either fan imekufa.
Terminal za fan zimechimoka.
Pia processor itakuwa imekaukiwa na fluid (heat sink fluid)
Sasa mkuu jaribu kumpa fundi aipime cause hardware za pc zinahitaji uwe makini sana.
Hapana mkuu nina interests na hivi vitu,Mimi nipo Rock city.Asante sana mkuu, pls ww ni fundi wa hivi vitu na unapatikana wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakapo zima itazima jumla, fanya backup, mapema na umwone daktari wake.dah! mi mwenyewe yangu inafanyaga hivyo hivyo..ila feni inazunguka kama kawa na huwa sio mara kwa mara. inaweza kaa hata wiki bila kujizima hata mara moja
Nipe namba yako nikupe kijana akurekebishie.Wakuu poleni kwa Majukum nina laptop yangu ASUS. Hii machine inajizima yenyewe baada ya kuwaka. Isipojizima ukijaribu kuitingisha au kupiga juu ya keyboard kwa kishindo inajizima. Uki-connect charge bila kuzima ile taa ya kuonyesha kuchaji inawaka baada ya sec kadhaa inajizima. Wajuzi wa hizi kazi tusaidiane nn cha kufanya. Nipo Kilimanjaro kikazi ata sijui fundi mzuri nitampata wapi ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
shukrani ila tatizo ni nini?Itakapo zima itazima jumla, fanya backup, mapema na umwone daktari wake.