Sisi watanzania sijui tuna matatizo gani, wewe IPO dar pc kibao za uhakika kuliko kununua kwa mtu hujui ina tatizo gani hata kama itakua bei rahisi lakn haitadumu, kanunue dukani hata kama ni used utapewa warrant ya hata miez 3 kutokana na bei ya PC, ikipata hitilafu unaweza badilshiwa
Mimi nilinunua PC used lak 2.5 DEC 2012 mpaka Leo ninayo nimeiformat Mara 3, yule muhindi aliniambia nisi Basibashe window wala ram, ni dell latitude 4200 kama sijasahau, nimenunua nyingine mpya kwa aibu lakn bado Ipo vizur mpaka ajabu
Mimi nilinunua PC used lak 2.5 DEC 2018 mpaka Leo ninayo nimeiformat Mara 3, yule muhindi aliniambia nisi Basibashe window wala ram, ni dell latitude 4200 kama sijasahau, nimenunua nyingine mpya kwa aibu lakn bado Ipo vizur mpaka ajabu