Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,698
- 1,783
Ongeza kidogo bossMi Nina 250 kama vp nichek 0765-190024
Upo wapi mkuu? Mie nipo Iringa. Ninapenda kuiona physically.Habari wako...
Nauza laptop tajwa hapo Juu....
Ram 2gb
Processor core i3
HDD 250gb
Inakaa Na charge 3hrs
Haina tatizo lolote... Kama una hitaji ni PM au piga 0752647796.
Bei Tsh. 400,000/=
Karibu sana.
Nipo kibahapande zp
Mi nipo Kibaha Kiongozi... Ila mzigo Uko poa kabisaUpo wapi mkuu? Mie nipo Iringa. Ninapenda kuiona physically.
Ongeza boss tufanye biasharaIpo 200 sasa hivi bro
Sio ndogo, ila bado unanibana Mimi boss250000 je
Itakula kwangu... Ongeza kidogo bos260000 vp bro ipo mfuko wa shat
250000 kama inafaa 0762525846Habari wako...
Nauza laptop tajwa hapo Juu....
Ram 2gb
Processor core i3
HDD 250gb
Inakaa Na charge 3hrs
Haina tatizo lolote... Kama una hitaji ni PM au piga 0752647796.
Bei Tsh. 400,000/=
Karibu sana.
Kiongozi... Ongeza kidogo boss wangu250000 kama inafaa 0762525846