Duh hili tatizo sijawahi kulioana ndio kwanza mara ya kwanza kunitokea. Yaani ni kama zile taa zinazoleta mwana kuona kwenye screen ya laptop zimezimika, kwa hiyo mpaka nichungulie sana ndipo naona icon na maneno, sasa sijui nitaziwasha vp hizo taa za pepmbeni. Button ya mwanga nimeongeza hadi mwisho lakini lap ina giza bado. AU ndo kusema display imekufa?? Hembu mwenye kujua anipe ushauri how to proceed coz inaninyima raha sana.
My Regard
kuna kibutton pembeni kwenye maungio ya screen ya laptop kinafanya laptop screen izimike wakati ukifunga lid,jaribu kukiangalia kinaweza kikawa kimedumbukia ndani .
Ni PC ya brand gani?
Wakati mwingine huwa inahitaki kurekebisha kidogo settings kwenye BIOS na mambo yanakuwa sawa.
Kama uko Dar fika Orange, wanarekebisha such problems kwa sh. elfu 50.
Kama unafanikiwa.kwa mbali kuona icons,then tube light ktk display imeungua,au invetory yake imekufa.ni PM nikupe namba ya fundi ambaye atakutengenezea hiyo display