Laptop Brand New Inahitajika

Mbushuu

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2011
Posts
2,180
Reaction score
3,421
Iwe na specification zifuatazo
Procesor i5 core
Ram 4Gb
HDD 500
Dvd rw
Webcam
Bajeti yangu ni 500,000
 
Mkuu nadhani kama utafanikiwa hata used yenye intel core i5 kwa hiyo bei utakuwa na bahati sana. Labda kwa zile fake za kichina,lakini kama unatafuta kitu genuine kwa bei hiyo,nakutakia kila la kheri kuishi kwa matumaini.
 
Vip kuhusu i3
 
Kwa kubahatisha sana unaweza ukapata used ya i3 kwa budget yako mkuu,lakini kama uko serious kupata laptop nipe 2 to 3 days nikuangalizie kitu kizuri kulingana na specs na pia budget yako.
 
Kwa kubahatisha sana unaweza ukapata used ya i3 kwa budget yako mkuu,lakini kama uko serious kupata laptop nipe 2 to 3 days nikuangalizie kitu kizuri kulingana na specs na pia budget yako.

Ok poa kiongoz ukipata jst pm
 
check post zangu....ukikuta inayokufaa..check na mimi kwenye simu....ila ukipata iyo uliyoitaja hapo juu kwa bei yako...chukua pia namba yangu....ninawajua mafundi wazuri wa laptop watakusaidia baada ya mwenzi mashine ikianza yake
 
Hivi jama hizo laptop za Tanzania zinazouzwa bei ya chini kuliko UK, USA, Germany zinatoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…