Laptop Bei poa inatafutwa.

Laptop Bei poa inatafutwa.

galaxy68

Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
41
Reaction score
0
Natafuta Laptop ya bei poa Ram 2Gb Processor 2.0GHZ-240GB au zaidi offer yangu 350,000/=
 
Wanajamii mwenye laptop ya bei poa tsh 350,00 anijuze kwa 0719 757700
 
Wanajamii mwenye laptop ya bei poa tsh 350,00 anijuze kwa 0719 757700

Angalia utaibiwa wewee, unanikumbusha wale watu wa mkoani kwetu wanao ingia dukani na kuagiza wapewe suruali ya Tshs50,000 ili amfunike aliyejigamba kununua suruali ya Tshs35,000. Kwa taarifa yako hapa mjini hata ukitaka laptop ya Ths80,000 utapata.
 
Nimekupata mkuu lakini mimi si wa kuja kivilee siuziwi mbuzi kwenye gunia ni mtaaluma,ni mkongwe kwenye fani naelewa nini nafanya.
 
Angalia utaibiwa wewee, unanikumbusha wale watu wa mkoani kwetu wanao ingia dukani na kuagiza wapewe suruali ya Tshs50,000 ili amfunike aliyejigamba kununua suruali ya Tshs35,000. Kwa taarifa yako hapa mjini hata ukitaka laptop ya Ths80,000 utapata.

Nimekupata mkuu lakini si wakuja kivileee siuziwi mbuzi kwenye gunia kama unavyofikiri ni mtaaluma,ni mkongwe kwenye fani naelewa nini nafanya.
 
hiyo ni laki 3 na nusu au mia tatu na 50 na senti 00?jipange kwanza uje upya umechapia au una maanisha?
 
Ipo Toshiba Satellite 1900 with reduced battery functionality, but working perfectly. PM if interested
 
hiyo ni laki 3 na nusu au mia tatu na 50 na senti 00?jipange kwanza uje upya umechapia au una maanisha?

Nimekupata lakini mbona inaeleweka tu ni tsh Laki tatu na Nusu (350,000) una la ziada???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom