Ukweli ni Hazina, Utakulinda baadaye ukizidiwaDah bora umekuwa mkweli..
Ukweli ndo mpango mzm mjini hapaAt least umekuwa muwazi. Ukimuuzia mtu hata kama umeme umekatika lakini atalidhika kabeba desktop computer
Thanx kwa ushauri nduguWeka betri mpya then pandisha bei
Processor: intel (R) Core (TM)2 Duo CPU T 6400@2.00 GHZ 2.00 GHZProcessor?
Screen size?
Vp kaka mbona kimya. Ulikuwa na ngap kwa mfano??Processor?
Screen size?
Vp kaka mbona kimya. Ulikuwa na ngap kwa mfano??