Lap top

Kiparaa

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
384
Reaction score
114
Laptop DELL INSPIRON N5050 inauzwa ipo katika
hali nzuri kabisa (used for 1 month).
SPECIFICATION: RAM 2GB, HDD 500GB,
PROCESSOR 1.6GHZ, WEB CAM NA WIRELESS
FEATURES.
Bei ni Tsh 450,000 (Haina tatizo lolote)
Mawasiliano: call, text na watsapp ni 0763 55 36
58. napatikana Dar es salaam
 
It doesnt matter kwani maswala ya laptop cyanahusiwna na elimu pia.
 
It doesnt matter kwani maswala ya laptop cyanahusiwna na elimu pia.

sio yanahusiwna bali yanahusiana ila hapa advertisment sio mahala pake...hilo neno advertisment najua nmekuacha ila usijal hapa ndo jf utajua tu maana ake.
 
sio yanahusiwna bali yanahusiana ila hapa advertisment sio mahala pake...hilo neno advertisment najua nmekuacha ila usijal hapa ndo jf utajua tu maana ake.

Da eti umemuacha ki jineno hicho ... acha dharau wewe.
 
acha shobo wewe...

una nini cha kushobokewa ...... we si ndo mshobokeaji wa post za watu ,, ka huna hela ya kununua laptop si upotee tu kwenye thread za watu. Mkuu ka post thread yake nzuri, kwa lengo nzuri unashadadia, kafie mbali huko
 
Unajua nn dansel mtu mwenye akili timamu hawezi kumdharau asiyemjua ivi mtu na akili zako timamu unaweza kumwambia mtu ndani ya jf especially jamvi la elimu kuwa hafahamu maana ya advertisement! ! Alafu anajiita man of steel, are you man of steel or woman of steel?
 
Si ndo nashangaa, unajua watoto wa darasa la saba, siku hizi nao wanaccess na internet ndo wanatuletea jam humu
 
And what you have to knw education and technology are two sides of the same coin. Rudi darasani kijana.
 
Si ndo nashangaa, unajua watoto wa darasa la saba, siku hizi nao wanaccess na internet ndo wanatuletea jam humu

nimetaka kukuheshimu kumbe na we dharau ipo kifuani ,nani darasa la saba humu ndani.Na una tofauti gan na unaemlaumu humu ndani.

"Think twice too"
Toa mwiba matak.oni kisha ukae ndo utoe wa mguuni.
 
Mtu mwenyewe neno advertisement kalisoma kwenye dictionary wakati wenzake tumesoma kama topic ktk marketing.
 
nimetaka kukuheshimu kumbe na we dharau ipo kifuani ,nani darasa la saba humu ndani.Na una tofauti gan na unaemlaumu humu ndani.

"Think twice too"
Toa mwiba matak.oni kisha ukae ndo utoe wa mguuni.

Nimekuelewa AllenMwita let us forget about It .. And stay in peace ... Do you agree the situation?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…