Landrover 109 for sale

Aaaaah, imepitwa na wakati. Mafuta debe kws kilometa chache. Ni kweli kuwa ni imara, bati tupu, na ina nguvu sana. Bei iliwekwa ni reasonable. Kwa vijijini it's very ideal. Spares ni nyingi mno. Ila kwa sisi watoto wa mjini hakuna kitu hapo.
Hakuna gari ya kizamani ambayo haitumii mafuta kama 109,hii is da best ever
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…