π Geosky Company Inaongeza Timu Yake!
Tunakukaribisha kujiunga nasi kama
Survey Technician mwenye ari, ubunifu, na ujuzi wa kitaalamu katika
Geomatics.
π Nafasi: Survey Technician
π Kiwango cha Elimu: Diploma in Geomatics au taaluma inayohusiana
πΌ Kampuni: Geosky Company
π Eneo: Various Sites Across Tanzania
π° Mshahara: Competitive Salary
β° Aina ya Kazi: Full-time
Majukumu:
β’ Kufanya
field surveys kwa usahihi na kwa kutumia vifaa vya kisasa vya kupimia.
β’ Kuchakata na kuchora
survey data kwa kutumia software za GIS na CAD.
β’ Kushirikiana na timu ya uhandisi na wateja kuhakikisha matokeo bora.
β’ Kuhakikisha taratibu zote za usalama na ubora zinafuatwa.
Sifa za Mwombaji:
β’ Diploma in Geomatics / Land Surveying.
β’ Ujuzi wa kutumia
Total Station, Level Machines, GPS, na AutoCAD.
β’ Uelewa wa
data collection & processing.
β’ Uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi ndani ya muda mfupi.
β’ Motisha binafsi na uwezo mzuri wa kufanya kazi na timu.
π§
Tuma maombi yako (CV + Cover Letter) kupitia:
π wanderwithease1@gmail.com
π
Mwisho wa kutuma maombi: Tarehe 16/11/2025.
β¨
Jiunge na Geosky Company β ambako sayansi ya ramani inakutana na ubunifu wa kisasa!