mayome Member Joined Jan 17, 2012 Posts 62 Reaction score 21 Aug 1, 2012 #1 Habar Yako mwana Jamii Land Rover 110 cc 2500 ya mwaka 1998 imetembea umbali usiozidi kilometer 250,000. inauzwa kwa bei ya Tsh. Million saba na nusu (7,500,000/=) Sasa nimeweka picha kwa wale waliokua wakihitaji picha wanaweza kujionea. pia unaweza kuja kuona gari yenyewe ipo mburahati jijini Dar es salaam. Ikikupendezea tuwasiliane kwa simu +255713500504, email address: georgemathayo570@yahoo.com au unaweza kutuma private massage. NOTE: Dalali hatakiwi na wenye utani pia wasiulete hapa. Attachments PICTURE 20001.pdf PICTURE 20001.pdf 385.9 KB · Views: 211 PICTURE0001.pdf PICTURE0001.pdf 757.5 KB · Views: 155
Habar Yako mwana Jamii Land Rover 110 cc 2500 ya mwaka 1998 imetembea umbali usiozidi kilometer 250,000. inauzwa kwa bei ya Tsh. Million saba na nusu (7,500,000/=) Sasa nimeweka picha kwa wale waliokua wakihitaji picha wanaweza kujionea. pia unaweza kuja kuona gari yenyewe ipo mburahati jijini Dar es salaam. Ikikupendezea tuwasiliane kwa simu +255713500504, email address: georgemathayo570@yahoo.com au unaweza kutuma private massage. NOTE: Dalali hatakiwi na wenye utani pia wasiulete hapa.
Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 793 Aug 1, 2012 #2 Ingekuwa pikapu tungeongea mkuu!
prof kisambuka Senior Member Joined Mar 13, 2015 Posts 132 Reaction score 137 Mar 28, 2020 #3 Hata mm natafuta pick up na Engine ya Diesel. Sent using Jamii Forums mobile app