Land rover discover vs land rover tdi

Tanzanite klm

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
480
Reaction score
413
Naomba anayejua sana kuhusu haya magari ni lipi imara na bora kati ya hayo mawili
 
Hivi Tdi ni aina au mfumo wa gari ?.Labda ungeuliza Land Rover Defender au Land Rover Discovery. kwasababu aina zote mbili zinaweza kuwa Tdi yaani Turbo Direct Injection.
 
Hivi Tdi ni aina au mfumo wa gari ?.Labda ungeuliza Land Rover Defender au Land Rover Discovery. kwasababu aina zote mbili zinaweza kuwa Tdi yaani Turbo Direct Injection.

absolute you are correct,i mean defender or discover
 
nazikubali sana land rover discovery 4, ila sijui ubora wake
 
Mkuu Tanzanite klm

Land Rover Defender na Land Rover Discovery zipo zenye engine Tdi 200 hii ni model ya zamani kidogo nadhani ilianza kutoka kwenye miaka ya 1990 hadi mwaka 2000 wakatoa model engine 300Tdi na sasa zipo Td5 model mpya kabisa.

Kwa upande wa shughuli Defender ndiyo yenyewe hasa discovery ni gari ya kula bata sasa hapa inategemea aina ya kazi unayotarajia kuifanya kama ni kazi za porini chukua Defender tena ukiipata model ya zamani 200Tdi ni nzuri zaidi lakini pia Tdi 300 ni nzuri pia.Td5 ni engine ya kisasa zaidi ila ni ghali sana mara ya mwisho show room ilikuwa na bei kubwa kuliko land cruiser 76 ?.

absolute you are correct,i mean defender or discover
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…