sensitive lady
Member
- Dec 10, 2014
- 19
- 11
Kipo tabata kisukulu kina ukubwa wa sqm 1515. Hati miliki safi ipo kutoka serikalini. Kinafaa kwa makazi au biashara. Huduma za umeme na maji vipo. Kipo sehemu ambayo tayari imeshajengeka sana.
Bei 38Mil
Pm for more details
Bei 38Mil
Pm for more details