Land for sale at a very reasonable price

Land for sale at a very reasonable price

kind lady

Member
Joined
Mar 12, 2015
Posts
42
Reaction score
5
Kipo keko ya magurumbashi kina ukubwa wa 500sqm pia kina leseni ya makazi.
Bei 6.2mil tzs maelewano yapo.

NB: Gari haifiki mpaka kiwanjani.

Pm for more details and photos.
 
Kweli wewe ni kind lady.
Maana umeweka wazi kabisaa kwamba gari haifiki.
Lakini wengie wangekipamba hicho hadi basi.
Maeneo hayo ni mazuri kama ukijenga nyumba ya kupangisha ya kawaida inalipa na kupata pesa ya kula.
 
Mmh Leseni ya Makazi?? You mean certificate of occupancy au? Hiyo inatolewa kwa kiwanja au Nyumba iliyokiwa certified fit for occupancy?

Hebu fafanua hapa mkuu au ulikuwa unamaanisha hati ya ardhi??
 
Sehemu ambayo ni squatter area huwa zinatolewa leseni za makazi

Aah okay...ndiyo zile chini ya Mkurabita?

Maana nilianza kuwaza hati ya makazi (certificate of occupancy) wakati ni kiwamja si nyumba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom