Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,588
- 7,288
JF Mtu kauliza bei watu wanajadili vitu vinginevyo kabisa
Umeeleza vyema lakini bado tena umeshindwa kutaja bei...!hivyo vitu vilikuwa ni lazima vijadiliwe i kumpa ujuzi mleta mada
unaposema landcruiser v8 hapo hujataja gari specific zipo model za landcruiser kama tatu zote ni v8 engines na bei ni tofauti kabisa hata muundo ni tofauti sasa utataja vipi bei hapo bila kujua ni gari gani anayoulizia
kwa maelezo yaliyofanyika hapo juu mleta mada atakuwa amepara uelewa kuwa either gari anayoitaka ni 76 series with v8 engine au ni 200series v8
kwa mfano hapo juu kuna mtu kapost picha ya landcruiser v8 model of 2014 ila ni 76 series je mleta mada anataka kujua bei ya hyo? so kwa hayo maelezo yatakuwa hayakusaidia ww ila mleta mada mwenyewe alishashukuru kwa elimu aliyopewa na akasema yeye alikuwa anaulizia bei ya 200series
Nashukuru mkuu. Kwa udadavuzi mzuri. Nataka 200series.zinatembeaje bei? Naona itanifaa sisi wa milimani na mabonde kwinama.
Soma mada vizur ww. Bei imeulizwa ni kweli lakini kuna ishu ya risk na advantage zake pia alitaka kujuaJF Mtu kauliza bei watu wanajadili vitu vinginevyo kabisa
Bongo ni ungese jamani yani bei ya gari ni sawa na kodi hizi kodi za Tanzania zinapatikana Tanzania peke enilijisahau mkuu
kwa model ya 200series ya 2014 diesel engine bei yake inarange kwanzia USD 38000 hadi 48000 ukija bandarin kwa import tax ipo fixed ni milion 70 so hapo utapiga total roughly uwe na kama 160 milion ili uendeshe 200 series ya 2014
😂😂😂😂😂😂 sijui utaratibu wa nchi nyingine ukojeBongo ni ungese jamani yani bei ya gari ni sawa na kodi hizi kodi za Tanzania zinapatikana Tanzania peke e
IPO bongo tuu germany kuna SUV from france ndo cheapest kabisa 15k 0km na hapo kampuni inakupa on credit kama euro €8000[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui utaratibu wa nchi nyingine ukoje
ila kwa hivi vigari vidogo IST unaileta hadi bandarini kwa USD 2100 alafu kodi milion 7 [emoji23][emoji23][emoji23] jumla unakiendesha kwa milion 11 ila kule umekinunua milion 4.3
tutafika na sisi huko 😂IPO bongo tuu germany kuna SUV from france ndo cheapest kabisa 15k 0km na hapo kampuni inakupa on credit kama euro €8000
SawaSoma mada vizur ww. Bei imeulizwa ni kweli lakini kuna ishu ya risk na advantage zake pia alitaka kujua
Sasa V8 model ipi? series ipi? Ndio kitu wana JF wanajadili.....!
Ukiona bei haijatajwa manake madalali hawajapita bado.
Sawa chief
Asante ndugu kwa jibu zuri..!!nilijisahau mkuu
kwa model ya 200series ya 2014 diesel engine bei yake inarange kwanzia USD 38000 hadi 48000 ukija bandarin kwa import tax ipo fixed ni milion 70 so hapo utapiga total roughly uwe na kama 160 milion ili uendeshe 200 series ya 2014
pamoja mkuuAsante ndugu kwa jibu zuri..!!
Nashukuru mkuu. Kwa udadavuzi mzuri. Nataka 200series.zinatembeaje bei? Naona itanifaa sisi wa milimani na mabonde kwinama.na ndio maana nikaweka maelezo hayo ...sababu ukisema landcruiser v8 unakuwa hueleweki unaongelea landcruiser ipi maana zipo models nyingi zenye v8 engines
soma vizur maelezo yangu mwisho nikasema kutokana na michango ya wadau inaonekana wanaiongelea 200series so ingekuwa vyema kama watu watumie model names badala ya engines maana inaweza ikachanganya wengine
mzee wangu ana V8 ya diesel litre 1 inaenda adi km 10 had 12 inategemea na uendeshaji wako.. atafute V8 engine dieselUnazungumzia a petrol itakuwa,kuna v8 la diesel,1 lts ,km 15
Fortuner ya mwaka gani?technology imekuaNna fortuner 3.0 L diesel 4 cylinder na haiendi km hizo itakuwa 8 cylinder 4.6L mmmhhh, mwongo
Anajistukia tu achananaeNdgu kwani nimesema nini hadi kunitolea povu hivyo?
roho za kutu za Ktz ni hatariUna mawazo ya kimaskini sana,Sasa kuwa na V8 ni issue??? Magari yameshuka sana Bei,ungesema nyumba labda,Sasa na gari Ni kitu Cha kushangaa kweli
Ila ajiandae pia maintainance ya diesel engine ni expensive kulinganisha na petrol engine.mzee wangu ana V8 ya diesel litre 1 inaenda adi km 10 had 12 inategemea na uendeshaji wako.. atafute V8 engine diesel
Uko sawa kabsa.. but uzur wa aya magari.. ukifanya service unasahau.. sio rahis kuharbka harbika.. especially ukifanya service kwa watu wa Toyota wenyew..!! unaeza kaa ata miaka miwil ujaenda garage..!!Ila ajiandae pia maintainance ya diesel engine ni expensive kulinganisha na petrol engine.