Mtu ukishafikia uwezo wa kumiliki gari la aina hii,Wadau nafikiria kumiliki huyo mnyama. Za mwaka 2010-2014 bei gani yard? Naomba kujua risk zake na advantages Zeke. Mi najua moja ya ulaji wa mafuta
naona nchi iko kwenye ucumi wa kati sasa ... miaka minne iliyopita mlikua mnajadili namana ya kununua vitz na rav4
Ukinunua Genuine Spare zinadumu sana.Lakini zinadumu au kamanda.
Wadau nafikiria kumiliki huyo mnyama. Za mwaka 2010-2014 bei gani yard? Naomba kujua risk zake na advantages Zeke. Mi najua moja ya ulaji wa mafuta
Tunashukuru mkuuhivi ni kwanini toyota landcruiser 200series watu wanaiitaga landcruiser V8 😂😂
wakati V8 ni engine na ipo kwenye landcruiser model nyingi tu maana hata LX 76 series zipo zenye V8 engines
kwa maelezo yako mleta mada na wachangiaji gari mnayoiongelea inaitwa TOYOTA landcruiser 200series hyo V8 ni code tu kuonesha kuwa inatumia engine yenye piston 8 na zimekaa kwa V configuration
Ni mazoea tu wala sio issue kubwa. Ni kama vile rav4 kilitime, and the like, so dont take it too serious buddy.hivi ni kwanini toyota landcruiser 200series watu wanaiitaga landcruiser V8 😂😂
wakati V8 ni engine na ipo kwenye landcruiser model nyingi tu maana hata LX 76 series zipo zenye V8 engines
kwa maelezo yako mleta mada na wachangiaji gari mnayoiongelea inaitwa TOYOTA landcruiser 200series hyo V8 ni code tu kuonesha kuwa inatumia engine yenye piston 8 na zimekaa kwa V configuration
Ni mazoea tu wala sio issue kubwa. Ni kama vile rav4 kilitime, and the like, so dont take it too serious buddy.
Unazungumzia a petrol itakuwa,kuna v8 la diesel,1 lts ,km 15Braza hiyo 1litre per 9kms ni kwa safari ndefu labda (Highway Driving) ila kwa mizunguko ya town tu bana inabugia 1 litre per 5kms braza, piston 8 ila najua jamaa anajiweza
Hii ndio gari ya kwanza kwenye series 200 ya Toyota Land Cruiser kuwekewa engine ya V8. Hapo awali series 70,80,100 zilikuwa zinatumia mfumo wa inline 6 cylinder.hivi ni kwanini toyota landcruiser 200series watu wanaiitaga landcruiser V8
wakati V8 ni engine na ipo kwenye landcruiser model nyingi tu maana hata LX 76 series zipo zenye V8 engines
kwa maelezo yako mleta mada na wachangiaji gari mnayoiongelea inaitwa TOYOTA landcruiser 200series hyo V8 ni code tu kuonesha kuwa inatumia engine yenye piston 8 na zimekaa kwa V configuration
Wataalam wa mambo. Safi sanaaHii ndio gari ya kwanza kwenye series 200 ya Toyota Land Cruiser kuwekewa engine ya V8. Hapo awali series 70,80,100 zilikuwa zinatumia mfumo wa inline 6 cylinder.
Pia kuna Land Cruiser Vx Limited na series 79 zinakuja na V8 engine.
HiviHii ndio gari ya kwanza kwenye series 200 ya Toyota Land Cruiser kuwekewa engine ya V8. Hapo awali series 70,80,100 zilikuwa zinatumia mfumo wa inline 6 cylinder.
Pia kuna Land Cruiser Vx Limited na series 79 zinakuja na V8 engine.
Kweli petrol inapeleka sana kuliko diesel ni kweli ila ni kiasi cha 15km kweliUnazungumzia a petrol itakuwa,kuna v8 la diesel,1 lts ,km 15
Kweli petrol inapeleka sana kuliko diesel ni kweli ila ni kiasi cha 15km kweli
Landcruiser 200 series diesel engine v8 ilikuja kama standard option, , yes huko nyuma zilikuwepo v8 engines lakini zilikuwa ni petrol engine, 1Uz na 2Uz , ni moja ya engine za v8 configuration, V8 za miaka ya nyuma hazikuwa standard , zilikuwa zinakuja kama luxury options Lx na Vx, hasa lexushivi ni kwanini toyota landcruiser 200series watu wanaiitaga landcruiser V8
wakati V8 ni engine na ipo kwenye landcruiser model nyingi tu maana hata LX 76 series zipo zenye V8 engines
kwa maelezo yako mleta mada na wachangiaji gari mnayoiongelea inaitwa TOYOTA landcruiser 200series hyo V8 ni code tu kuonesha kuwa inatumia engine yenye piston 8 na zimekaa kwa V configuration
Si kweli , toyota wan v8 engines tokea miaka ya themanini, ila zilikuwa ni za petroli ,Hii ndio gari ya kwanza kwenye series 200 ya Toyota Land Cruiser kuwekewa engine ya V8. Hapo awali series 70,80,100 zilikuwa zinatumia mfumo wa inline 6 cylinder.
Pia kuna Land Cruiser Vx Limited na series 79 zinakuja na V8 engine.
Ahsante kwa maelelzo ya kitaalamhivi ni kwanini toyota landcruiser 200series watu wanaiitaga landcruiser V8 😂😂
wakati V8 ni engine na ipo kwenye landcruiser model nyingi tu maana hata LX 76 series zipo zenye V8 engines
kwa maelezo yako mleta mada na wachangiaji gari mnayoiongelea inaitwa TOYOTA landcruiser 200series hyo V8 ni code tu kuonesha kuwa inatumia engine yenye piston 8 na zimekaa kwa V configuration
Kwani amekuambia anakipato cha kawaida? Angekuwa na kipato cha kawaida asingeulizia hiyo gari, angeulizia passo, vtz and the like
Hapo juu umetoka kumpondea jamaa halafu chini unamkebehi mzee baba aliyesema ana push hii ndinga tokea 2012Hii ndio JF bhna
Inabidi kuwazoea tu watu wa namna hiyo Bro. Nami nimejiuliza swali kama lako.JF Mtu kauliza bei watu wanajadili vitu vinginevyo kabisa