Land cruiser inauzwa

Land cruiser inauzwa

Joined
May 12, 2016
Posts
20
Reaction score
9
Landcruiser mashine 1hz bei ni 12m namba ya simu 0678737876 kwa picha zaidi nicheck whatsapp.
1472646163212.jpg
 
Yaan biashara utangaze hapa picha wasap? C na tangazo ungeweka huko huko wasap?? Mfyuuu
Mkuu nenda whatsApp kachukue picha zaidi,hilo land cruiser used toka Japan sio hapa Bongo si unaona hapo nyuma hata halina number plate.
 
Kwani hapo huoni picha?? Nimesema picha zaidi ni whatsapp. Acha uchawi na biashara za watu ,wenye hela hawaongei unaongea ww, wala usiamshe madudu yaliolala hutajitoa jamii forum kabisa.
 
Achana nae huyo kaka atanisumbua tu.. Ukishamuona mtu ana maneno mengi ujue hana hela atakuja kunitilia gundu tu..! Hata akija sitomuuzia akae na ujeuri wake. Halaf anatoa majibu ya kunya kwa mtu asiyemjua ATAPOTEA.
 
Kiukweli umeharibu siku yang. Naomba tu kujua wewe ni dumee au demuu nijue kama ni demu nisipoteze muda wangu
Sasa kiongozi umeacha kufanya biashara umeanza kutunga mashairi. Biashara sikuzote sio mseleleko lazima utakutana na vizingiti na ujue jinsi ya kukabiliana navyo. Ingekuwa rahisi hivyo kila mmoja angekuwa mfanyabiashara kwani. Wewe jibu maswali ya msingi achana na wafurahisha baraza si kila andikae lazima umjibu. Tena mimi naona kakujibu kistaarabu wakija wenyewe wenye maneno yao utaharibiwa wiki na si siku tena!
 
Kwani hapo huoni picha?? Nimesema picha zaidi ni whatsapp. Acha uchawi na biashara za watu ,wenye hela hawaongei unaongea ww, wala usiamshe madudu yaliolala hutajitoa jamii forum kabisa.

Wewe acha povu akati biashara yako wewe, kama ungeona hiyo picha ulioweka inatosha usingeita watu waje wasap kuona picha zaidi, tangazo lako halijakamilika kwenye uuzaji wa gari mimi kukuuliza hilo swali ni kama challenge ukamalishe tangazo. Sasa unaweka picha ya nyuma ya gari afu unasema tununue husemi gari ya mwaka gani, imetembea km ngap? Picha za kutosha za kumshawishi mteja..unasema tuje wasap wakat huko wasap c unao watu pia? Watangazie tu hapa litoe gari lako kama unashindwa kuweka full details.
 
Sasa kiongozi umeacha kufanya biashara umeanza kutunga mashairi. Biashara sikuzote sio mseleleko lazima utakutana na vizingiti na ujue jinsi ya kukabiliana navyo. Ingekuwa rahisi hivyo kila mmoja angekuwa mfanyabiashara kwani. Wewe jibu maswali ya msingi achana na wafurahisha baraza si kila andikae lazima umjibu. Tena mimi naona kakujibu kistaarabu wakija wenyewe wenye maneno yao utaharibiwa wiki na si siku tena!
Hao ww wenye maneno ya kuharibu wiki ndio sisi ila tunatumia ustaharabu.. Mbna na mm nimempa maneno ya kistaharabu tu kama ningemla maneno ya kashfa wee wafkiri angekuwepo humu?
 
Wewe acha povu akati biashara yako wewe, kama ungeona hiyo picha ulioweka inatosha usingeita watu waje wasap kuona picha zaidi, tangazo lako halijakamilika kwenye uuzaji wa gari mimi kukuuliza hilo swali ni kama challenge ukamalishe tangazo. Sasa unaweka picha ya nyuma ya gari afu unasema tununue husemi gari ya mwaka gani, imetembea km ngap? Picha za kutosha za kumshawishi mteja..unasema tuje wasap wakat huko wasap c unao watu pia? Watangazie tu hapa litoe gari lako kama unashindwa kuweka full details.
Sasa niskilize nikwambie hvy hvy nilivyoweka na gari nimeuza.. Aliekuwa na nia ya gari niko nae hapa anaicheki anipe vyuma tu ww kama pyuuu zako hizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom