Land cruiser gx v8 inauzwa

PastorA

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
361
Reaction score
275
Habari zenu wana JF kama Heading inavyojieleza Gari aina ya Land Cruiser GX V8 inauzwa kwa bei poa kabisa ya Mil.115 lakini pia maongezi yapo na bei inaweza kupungua kidogo kutokana na hali ya sasa.
Karibuni sana.

 
Aisee, chuma kimesimamia kucha! Halafu ni manual transmission...

Anyway.. Kila la kheri Mkuu.
 
Chuma kimetulia ila vyuma vimekaza mkuu kila la kher
 
Hizi gari nzuri sana aisee, haswa hiyo rangi daaah, sema vyuma ndo hivyo mkuu kila lakheri lakini .
 
ichi ndo chuma sasa cheki kilivyosimama ila kwa mie ntakila kwa macho tu na vyuma vilivyokaza dah, umasikini mbaya sana
 
Mimi matangazo yangu ni ya TECNO huko umeenda mbali sana mkuu.
 
napata nyumba sita mjini hapa za watu waliokopa benki na kushindwa kulipa kwa pesa iyo
 
Khaa! Mkuu, unanitamanisha nikavamie benki... Ukisikia kuna tukio la uporaji limetokea leo basi ujeu ni mimi na hii yote ni kwa sababu ya hii ndinga! 😀
 
Ukisikia mwanaume mashine,basi ujue ni kumiriki mambo kama haya,
Salute kwa mmbabe atakae chukua hii mashine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…