hio sio pesa mkuu weka atleast laki mtu aache mishe zinazomwingizia around 50k per day ajitume kwenye hio quiz
hiyo ideal ni nzur mkuu. weka quiz hiyo watu tuanze ku code ..
"practice makes perfect"
Shindano halipo fair hata kidogo, utajuaje kuwa walioshiriki ni beginners na sio professional au Umeamka kuigawa hiyo hela tu!
hiyo ideal ni nzur mkuu. weka quiz hiyo watu tuanze ku code ..
"practice makes perfect"
Hamna chochote mod funga hii