Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,621 Reaction score 39,992 Dec 23, 2023 #1 Mechi moja makosa mawili yanyofanana na moja likizaa goli. Umesifiwa siku mbili, lakini haikukusaidia kubadilika. Makosa kama haya hayawezi hayavumiliki. Waliosema Manula atafute timu Leo wamemuona Lakred halisi.
Mechi moja makosa mawili yanyofanana na moja likizaa goli. Umesifiwa siku mbili, lakini haikukusaidia kubadilika. Makosa kama haya hayawezi hayavumiliki. Waliosema Manula atafute timu Leo wamemuona Lakred halisi.
Stephen M JF-Expert Member Joined Sep 18, 2016 Posts 372 Reaction score 379 Dec 23, 2023 #2 Apewe muda atatusaidia kimataifa
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,073 Reaction score 23,679 Dec 23, 2023 #3 Bila bila said: Mechi moja makosa mawili yanyofanana na moja likizaa goli. Umesifiwa siku mbili, lakini haikukusaidia kubadilika. Makosa kama haya hayawezi hayavumiliki. Waliosema Manula atafute timu Leo wamemuona Lakred halisi. Click to expand... Golo la pili aliteleza,
Bila bila said: Mechi moja makosa mawili yanyofanana na moja likizaa goli. Umesifiwa siku mbili, lakini haikukusaidia kubadilika. Makosa kama haya hayawezi hayavumiliki. Waliosema Manula atafute timu Leo wamemuona Lakred halisi. Click to expand... Golo la pili aliteleza,
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,621 Reaction score 39,992 Dec 23, 2023 Thread starter #4 Stephen M said: Apewe muda atatusaidia kimataifa Click to expand... Mataifa yapi?
S suudy JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 344 Reaction score 544 Dec 23, 2023 #5 Simba nafasi ya tatu au ya nne, msimu huu.
S suudy JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 344 Reaction score 544 Dec 23, 2023 #6 Bado hawapo sawa. Simba mbovu.
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,621 Reaction score 39,992 Dec 23, 2023 Thread starter #7 nguvu said: Golo la pili aliteleza, Click to expand... Alikuwa anatema shuti la mbali vile Kwa sababu gani? Kateleza akiufuata mpira alioupoza mwenyewe bila sababu ya Msingi. Sijui Waliosema Manula aondoke Wana Hali gani huko Mloganzila?
nguvu said: Golo la pili aliteleza, Click to expand... Alikuwa anatema shuti la mbali vile Kwa sababu gani? Kateleza akiufuata mpira alioupoza mwenyewe bila sababu ya Msingi. Sijui Waliosema Manula aondoke Wana Hali gani huko Mloganzila?
S Somi JF-Expert Member Joined Feb 7, 2009 Posts 3,956 Reaction score 4,897 Dec 23, 2023 #8 suudy said: Simba nafasi ya tatu au ya nne, msimu huu. Click to expand... ✅
Dan Zwangendaba JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 6,458 Reaction score 8,796 Dec 23, 2023 #9 suudy said: Simba nafasi ya tatu au ya nne, msimu huu. Click to expand... Tutaridhia.
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Dec 23, 2023 #10 Mechi 2 tu wakaanza kumfananisha na Diarra mwenye misimu miwili akiwa kwenye kiwango cha juu!
Chakubanga22 Senior Member Joined Nov 13, 2021 Posts 185 Reaction score 339 Dec 23, 2023 #11 Yeye nani asikosee.
Majok majok JF-Expert Member Joined Aug 3, 2023 Posts 783 Reaction score 2,058 Dec 23, 2023 #12 Waliomfananisha na diarra ni wale mbumbumbu wa Mangungu wasiojielewa, mechi 3 tiyali walishaanza kumfananisha na screen protecta!
Waliomfananisha na diarra ni wale mbumbumbu wa Mangungu wasiojielewa, mechi 3 tiyali walishaanza kumfananisha na screen protecta!
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,201 Reaction score 29,762 Dec 23, 2023 #13 Hamna kipa pale
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 22,855 Reaction score 32,658 Dec 23, 2023 #14 Nifah said: Mechi 2 tu wakaanza kumfananisha na Diarra mwenye misimu miwili akiwa kwenye kiwango cha juu! Click to expand... Walivyompamba sana....nikianza kuamini ....mbwa Mimi
Nifah said: Mechi 2 tu wakaanza kumfananisha na Diarra mwenye misimu miwili akiwa kwenye kiwango cha juu! Click to expand... Walivyompamba sana....nikianza kuamini ....mbwa Mimi
kelphin JF-Expert Member Joined Dec 24, 2019 Posts 10,421 Reaction score 17,163 Dec 23, 2023 #15 Tayari
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,712 Reaction score 32,489 Dec 23, 2023 #16 Walitengeneza hadi form eti ya kumuomba msamaha bwana Ayubu, ikasambaa mitandaoni! Ila makolo kuna maandazi washabiki mabumunda jamani khaaaa
Walitengeneza hadi form eti ya kumuomba msamaha bwana Ayubu, ikasambaa mitandaoni! Ila makolo kuna maandazi washabiki mabumunda jamani khaaaa
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 12,983 Reaction score 11,794 Dec 23, 2023 #17 Kakutana na watoto wa Kinondoni.........
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 16,286 Reaction score 31,682 Dec 23, 2023 #18 Nifah said: Mechi 2 tu wakaanza kumfananisha na Diarra mwenye misimu miwili akiwa kwenye kiwango cha juu! Click to expand... Vijana wa Rage ni wasahaulifu sana hata Ali Salim walimfanaisha na Diara
Nifah said: Mechi 2 tu wakaanza kumfananisha na Diarra mwenye misimu miwili akiwa kwenye kiwango cha juu! Click to expand... Vijana wa Rage ni wasahaulifu sana hata Ali Salim walimfanaisha na Diara
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 21,854 Reaction score 27,025 Dec 23, 2023 #19 Bila bila said: Mechi moja makosa mawili yanyofanana na moja likizaa goli. Umesifiwa siku mbili, lakini haikukusaidia kubadilika. Makosa kama haya hayawezi hayavumiliki. Waliosema Manula atafute timu Leo wamemuona Lakred halisi. Click to expand... Mlishawaomba msamaha tulieni.
Bila bila said: Mechi moja makosa mawili yanyofanana na moja likizaa goli. Umesifiwa siku mbili, lakini haikukusaidia kubadilika. Makosa kama haya hayawezi hayavumiliki. Waliosema Manula atafute timu Leo wamemuona Lakred halisi. Click to expand... Mlishawaomba msamaha tulieni.
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Dec 23, 2023 #20 Labani og said: Walivyompamba sana....nikianza kuamini ....mbwa Mimi Click to expand... Hauko serious Mkuu, mechi mbili?
Labani og said: Walivyompamba sana....nikianza kuamini ....mbwa Mimi Click to expand... Hauko serious Mkuu, mechi mbili?