ujue kama mtu huelew bora uulize kuliko kumharbia mtu biashara yake wabongo tukoj lakn kama huitaj ni bora ukae kimya hakuna line ya bure shop yoyote bila kwenda na mtaj wa mil moja ... unaenda na mtj wa mil moja ndo unapewa line ukiwa na tin no, lesen ya biashara , photocop na passport na una subr ndan ya mwez had mwezi na nusu ..
ingekuw bure si wote tungekuw nazo kama huna hela kaa kimya wengne watakuja ..achen kupotoshaaaa watu.