mashi ga ngoko
Member
- Jul 15, 2018
- 96
- 50
Eeehh[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hata utakayemuuzia naye atafunga tu leo bank M imechukuliwa na bot kutokana na hali mbaya ya kibiashara
1. Mtu yoyote asijaribu kununua line ya mtu mwingine iwe ya uwakala ama ya kitu chochoteNauza laini zangu za uwakala zina kila document zote tuwasiliane 0652234563 nakuletea kokote uliko.Kuna laini za Tigo,airtel na voda Tsh 400,000Sababu ya kuuza nimefunga duka langu baada ya kuibiwa.
You mean all three lines!!??Nauza laini zangu za uwakala zina kila document zote tuwasiliane 0652234563 nakuletea kokote uliko.Kuna laini za Tigo,airtel na voda Tsh 400,000Sababu ya kuuza nimefunga duka langu baada ya kuibiwa.
Hapana mkuu nipe 150 kwa tigo tu na 50 airtelMzunguko wa fedha sasa hivi ni majanga, kila business inafungwa. nakushauri hakikisha kila line ina 0 balance. nami nilisha funga biashara.
Ndio laini zote ,Yes comeYou mean all three lines!!??
Nahitaji line ya Voda, should I come pm.
tatizo gani zinakua na nakala zote hata ofsini kwangu nyumbani kwangu ukihitaji nitakupeleka mimi sio mhuni browWapenda kitonga sasa...Line kununua kwa mtu ni tatizo kubwa tuwe waelewa