Kuna line za aina mbili za ttcl 1. CDMI ambazo hazisapoti katika simu za GSM ambazo ndo zinatumiwa na watu wengi. 2. GSM ambazo zinasapoti 3g na 4g LTE. Je wewe ulihitaji ipi? But Line na accessories zote za TTCL zinapatikana katika ofisi na maduka yote ya TTCL yaliyotapakaa nchi nzima. Kama uko kigamboni unaweza fika ttcl makao makuu ofisi ziko posta.