Kwa nini usiifanyie biashara mwenyewe? Nashukuru mkuu kwa swali lako, bila shaka swali lako linalengo la kujirizisha au kujipatia uhakika juu ya hii laini.
Napenda kwanza mkuu kukutoa wasi wasi juu ya hii laini, mimi ni mtumishi wa serikali na pia ninabiashara kadhaa. Ukiwa tayari nitakupa vielelezo vya kukutoa wasi wasi, ikiwa ni pamoja kukukaribisha ofcn kwangu, kukupeleka sehemu zangu za biashara na vielelezo vingine utakavyohitaji.
Sababu kubwa ya kuuza ni kwamba sehemu ninayoendeshea biashara mzunguuko wake ni mdogo, hivyo kunifanya faida ninayoipata kumpa m2 wa kazi na kulipia fremu.
Note: Matapeli wapo, Usikubali kutapeliwa, nipigie moja kwa moja kwa namba yangu hapo juu.