Laini ya m-pesa

mkuu ingekuwa busara tu ukalog in na kuanzisha uziwako na wewe

Kisa cha kujaza server!? We acha biashara huria ifanyike hapa.... kila mtu akifungua uzi sasa nani atakayesoma uzi wa mwenzie? Acha uchoyo wa fursa ww... we ndio walewake waonao tangazo la kazi na kuogopa kumwambia mwenzie eti kisa anataka aitwe yeye tu, kama haipo haipo tu......
 

ngoja nikuache tu,till nauza laki mbili ambaye anahitaji ani pm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…