Changamkia fursa ewe mjasiliamali ongezea vyanzo vya mapato gengenn/dukani/mgahawani kwako kwa Huduma ya m_Pesa lain inapatikana Mbalizi mbeya kwa tsh 180000 usiogope maongezi ni bure
naona unajistukia na bei yako!,m pesa line unaomba voda na unaipata ndani ya wiki moja bure afu ww unataka 180,000!weka bei nzuri ili hata mtu kama hatak mambo ya kungoja voda wiki imvutie mzungumze biashara