Hongera jd! No matter what ni m(wa)toto kwa njia ya chupa (IVF) au kawaida itabaki kuwa wako tu. Matatizo ya uzazi yanawasibu wengi kama umejaliwa kupata ujauzito mshukuru MUNGU wako. Look here, from 1978 todate over 4mil children have been born by mothers then said to be infertile. She's not the only1. Mungu anajua chochote unachosema, wengine hawajui majaliwa yao. Ikiwatokea kutopata mtoto watamuomba Mungu huyo huyo. Kama kweli ni mjamzito, mi nakuombea upate mapacha.