Labda Mungu tu ndo atawaokoa Atletico Madrid Alianza Arena

kareonke mwenzenu ana ridhika na mwenendo wa tim, ye ako kibiashara zaid, kwa kweli sioni wenger akiondoka Arsener Fc hivi karibuni
Ishangilie mdogo mdogo tuu
Arsenal ingekuwa kwenye zile ligi kuu za South America,huyu Wenger angeshakoswakoswa na mafataki au kukimbizwa na gari uwanjani.Chezea barra bravas wewe!
 
Arsenal ingekuwa kwenye zile ligi kuu za South America,huyu Wenger angeshakoswakoswa na mafataki au kukimbizwa na gari uwanjani.Chezea amigos wewe!
Hahaha
Madee alisema Wenger angekiwa bongo ilibid yeye awe jela maana angekuwa alisha mshambulia kwa silaha kitambo
 
Mkuu haina bei ya mkaa rejerea neno la kwanza la heading(Labda ...... away goal ni goli na mezani effortless)
Away goal ndio linafanya tuache usingizi wetu tuangalie usiku wa ulaya likifutwa tu tunawaachia uefa yao
 
Hahaha
Madee alisema Wenger angekiwa bongo ilibid yeye awe jela maana angekuwa alisha mshambulia kwa silaha kitambo
Ndugu huyu Wenger anatutesa sana washabiki, msimu ujao akiwepo itabidi nijiweke kando Na ligi ya EPL.
 
Arsenal ingekuwa kwenye zile ligi kuu za South America,huyu Wenger angeshakoswakoswa na mafataki au kukimbizwa na gari uwanjani.Chezea barra bravas wewe!
Hahahaaah haya yanamuhusu sana kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…