lab

rebecca1995

New Member
Joined
Nov 2, 2018
Posts
4
Reaction score
0
natafuta kazi ya maabara mkoa wowote elim yangu n ngazi ya cheti nina leaving tu nimemaliza mwaka huu mkoa wowote
 
kusajiliwa adi mwakani natafta tempo cz mwaka mzima nipo tu
 
Tulizana wewe mtoto baba zako madaktari wako mtaani mwaka wa pili hawana kazi. Kazi hakuna over
Hahahaaa anachukulia too simple kama heading yake alivyoandika, sasa hivi hadi kuvolunteer tu ni shughuli kupata sembuse kazi. Avute subra lkn tafuta kuvolunteer wakati anasubir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…