Toka Lema (KCM) mpaka Ibanda (Junction) toka tupate uhuru hajawahi kuziona bomba za maji tatizo ni ccm hapo ni pamoja na Usale. Nenda Mwaya (Mmwaja- Ndola, Lupando, Lughombo, Ilondo, Mbeghele, Kyangala,) kote huko hawayajui maji salama bado wanakunywa pamoja na Nyani. Lughombo-Nsesi, Ngonga, Butangali, Katumba - Songwe, Isanga, Lubaga, Ikolo kote maji hakuna wala barabara. Jamani Chadema njooni huku watu wanahitaji mabadiliko. Piteni kote huko mpaka Kasumulu Border tunawaitaji sana hasa kipindi hiki ambacho sisiemu wanataka kubadilisha rasimu ya wananchi na kuleta rasimu ya sisiemu.
Mungu awape nguvu tunawaitaji sana.
Mkuu umeamka nazo! maana hata hueleweki.
Utaelewa vipi wakati akili zako umeziweka tumboni na kichwani unatumia akili za akina Mwigulu na Nape?
Mkuu umeamka nazo! maana hata hueleweki.
Utaelewa vipi wakati akili zako umeziweka tumboni na kichwani unatumia akili za akina Mwigulu na Nape? Halafu unaongezea za akina Lukuvi na Wassira kwa nini usiwe kilaza mara 100?
Mfuasi wa siasa za umbijani utaelewaje?
We endelea kutumia akili za kuazima na kukodi utaona mwisho wako utakavyokuwaUnaonekana pengine umepewa viroba vya kutosha sana ,naona unaflow kama unaharisha.
Kuna cha kueleweka humo sasa!
we endelea kutumia akili za kuazima na kukodi utaona mwisho wako utakavyokuwa
Pamoja sana Kamanda, saa ya ukombozi ni sasa.mjomba , nimepita kapamisya , ibungu , kilasilo , mbako , isaki , bujonde na ipyana , kikusya na itope hali ni mbaya mbaya mno ! cdm imekusikia , CC - DR SLAA , WAITARA , MNYIKA , SUGU , MWAMBIGIJA .
Mkuu umeamka nazo! maana hata hueleweki.
achana na kyela wewe , huijui , ikipata viongozi makini wa cdm haiwezi kuwa kama kwenu iramba .
Mwisho wako wewe na boss wako wa ubwabwa na kofia Mwigulu aliyefumaniwa na mke wa mtu. Endelea kutumia akili zake kama hujaishia pabaya kama akina Juliana Shonza na Mtela Mwampamba.mwisho wa nani, wa wazinzi wenu wawili wanaoiba wake za watu or?
mwisho wako wewe na boss wako wa ubwabwa na kofia mwigulu aliyefumaniwa na mke wa mtu. Endelea kutumia akili zake kama hujaishia pabaya kama akina juliana shonza na mtela mwampamba.
Pamoja sana Kamanda, saa ya ukombozi ni sasa.
Good spirit kamanda. Hata mimi nipo tayari.kyela itakombolewa na cdm tu , nimezunguka kule ee bhana cdm inapendwa hadi raha ! Dr slaa anapendwa kyela sijapata kuona ! Inahitajika nguvu kidogo sana kumaliza kazi , NIKO TAYARI KUCHANGIA FEDHA KUFANIKISHA ZIARA ZA VIONGOZI WA KITAIFA .
Good spirit kamanda. Hata mimi nipo tayari.