kwo na mpenzi

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,675
Reaction score
2,117
kuna jamaa yangu anampenzi wake.ni miaka mitano sasa walisoma wote advance.mpaka university demu wa mshikaji alishawahi fika kwao na mshikaji wangu mara nyingi sana mpaka kuishi kwa muda hasa vipindi vya likizo chuoni bt mshikaji hajawahi kwenda kwao mpenzi wake sasa wana mtoto wa miezi mitano ambapo demu alienda jifungulia kwao tabora akitokea kwa mshikaji sasa kwao na demu wamekomaa mshikaji aende sasa leo amefunga safari kutoka simiyu shy ambapo ndo jamaa anafanya kazi kafika tabora mida ya saa 7 kachukua room G Houz ili kesho aende ukweni kapokelewa na demu ake cha kushangaza demu amekataa katakata kwenda guest anadai kama ni maongezi watafute sehemu wakae wazungumze halafu jamaa akapumzike huko guest kisha demu ageuze kwao sasa hii kitu imemkwaza sana mshikaji anajiuliza huyu manzi niaje leo anakataa kwenda guest na mimi wakati tulikuwa tunaenda sana mpaka siku zingine kama nipo mbali anachukua room namkutamo leo why anakataa wakati si kwamba mshikaji anataka demu alale nae nooo si mnajua kitambo hawajaonana kwahiyo alitaka angalau ampe mabusu demu kagoma jamaa akamwambia kama hutaki basi rudi home eeeeh demu karudi basi mshikaji kanipigia simu anasema hata huko ukweni kesho hakanyagi na asubuhi ikifika anaamkia safari ya kurudi kwake sasa mnamshauri nini njemba maana kamzimia simu demu wake kasema amemtext kwamba kesho atajibeba kwa kitendo alichokifanya hafiki huko kwao pia jamaa anahisi huyo demu uwenda anamchizi mwingine hapo tabora zatz why hala halaaaa wakuu. ushauri wenu.
 
kwa hiyo alitaka huyo bidada bize
na mtoto wa miezi mitano mgongoni kwapu kwapu aende gest!!!!!
 
Hivo wewe umemshauri nini?
Maana inaonekana wote mnagitaji ushauri
Maana kamili ya kufunga safari kwenda ukweni ni nini?
Na huko gest anataka nini?
Mtoto ni wa kwako afu unamtaka aache mtoto wa five months aje gest?
Afu unajiita graduate wa unicersity sijui gani hiyo? Au elimu uliopata haijakusaidia
Unahitaji kupata elimu ya baba mama na mtoto
Unahitaji kujua ukweni heshima na inabidi umwkmbe kwanza radhi mpenzio
Maana amekua na nidhamu kwa wazazi na kwa mtoto pia Mungu kama yasemavyo maandiko
Sasa wewe unadhani maisha mliokua mnaishi gest mjini na nyumban kwa wazazi atafanya ivo? We limbukeni kweli ungetakiwa umpate mke mhudhmu wa clab labda ndo mfanye hayo mambo
Ushauri mwombe radhi mpenzio na uende wacha maisha ya kitamthilia
Maisha unayoishi sio real
My opinion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…