Kwenu Wadada: Msikubali Kufanyiwa Hivi..

Mkuu umeongelea kuchepuka kama ni kitu cha kawaiiiida sana ...
 
 
Nimewahi kufanya hii ila alinipa mwenyewe


Wengine hudai ni utundu.

Utundu chumbani.


Hakuna science ya kufanya kifuani na mwanamke kuwa hivi
Ni kama kusema mwanamke akishikwa maziwa yanalala
Hivi ni vimisemo vya mitaani visivyo na ukwel wowote


Ni maumbile tuu ya mtu,watu hawafanani.
Yaani ......inatanua kifua?daah!.. hahhhahaha.vitu vigeni ivi atleast kuwe na source,maana sasa huku ni kudanganyana nje nje.


Hii comment ndiyo imenifumbua macho na kuona kinachoongelewa.

Dah! Duniani yapo yaliyopo.

Hii comment ndiyo imenifumbua macho na kuona kinachoongelewa.

Dah! Duniani yapo yaliyopo.

ndio starehe yangu harafu anakua kama ana achama kichwa kinapita kinywani, sio kilema hicho mbona miye kuna Demu shughuli yake pevu nikimwachia natembea kama Chiba au kiwete. Usiharibu burudani za watu



Money penny


Vifua vifua!

Mnapitwa nyiee
News Alert: - Ushauri: Wanaume husimama, Wanawake hukaa...
 
Watangazaji wa siku hizi shuleni wafundishwa ujinga?

Eti mwanadada mtanashati. Hovyo kabisa


mkuu sijaelewa, kifua kimefanyaje, kimesinyaa ama?


Aisee kweli siku hizi wadada wengi katikati ya matiti kuna upana mkubwa sana duh hii inatisha

Yajayo yanafurahisha kwa kwel

Kuiga iga kunawaponza dada zetu


Nimetoka kapa hapa hyo kifua imefanyaje?




tulia upanuliwe kifua mtoto

Mnapitwa News Alert: - Ushauri: Wanaume husimama, Wanawake hukaa...
 
Wanakuwa kama wanapiga zile push up za kutanua kifua [emoji3] .
 
Mbona siwaelewi? Hebu fafanueni kifua kinann tena?
 
Hahahahaha
Mimi Dar nimehamishwa naishi Dodoma na Germany
Ahahahahah Mungu anakuona watakuchapa ohoo!

Yani huko mbeleni kutakuwa na mengi ya kufurahisha. .. kaa mkao wa kula


Sawa nimeshanawa mikono tayari, nasubiri.
 
Angalia video ya dadako hapo uone kifua kilivyochacha
Kuna sababu nyingi ambazo humfanya mtu kuchakaa mwili
Kwanza ni kutozingatia mlo
Pili genetic heritage
Tatu kuzaa

Kwa mantiki yako watu wanaosalimia sana watu wangekuwa na vidole vilivyopinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…