Hija katika uislamu ni kwa mwenye uwezo wa kufanya safari hiyo,asiye na uwezo hawajibikiwi kuhiji,kwa mujibu wa Qur'an na hadithi sahihi za Mtume Muhammad(S.A.W)Habar wakuu
Nimekutana na tangazo la gharama za kwenda hija mwaka huu kama juu inavyosomeka $ 4,400.
Kwahali hii wa tandale wenzangu n.k wataweza kuhiji kweli?, kwanini BAKWATA na mashirika mengine ya dini wasiweke utaratibu kama wa nchi nyingine au Nigeria kusaidia gharama au kutafuta alternative za kupunguza gharama hili waislam weng waende hijja.
Nimtazamo tuu, twawezaboresha....
Asante.
SIKUKUU NJEMA YA WAKULIMAMAKAMPUNI.
Hija katika uislamu ni kwa mwenye uwezo wa kufanya safari hiyo,asiye na uwezo hawajibikiwi kuhiji,kwa mujibu wa Qur'an na hadithi sahihi za Mtume Muhammad(S.A.W)
Hija katika uislamu ni kwa mwenye uwezo wa kufanya safari hiyo,asiye na uwezo hawajibikiwi kuhiji,kwa mujibu wa Qur'an na hadithi sahihi za Mtume Muhammad(S.A.W)
Waislamu wangekua na utaratibu wa kutoa sadaka kila wiki na kuipeleka BAKWATA kama wafanyavyo wakristo ingekua ni rahisi sana hili fungu, likatumika kuendesha Bakwata, kuwalipa masheikh wa mikoa, wilaya, kata etc and above all, lingetumika kupeleka angalau waislamu elfu moja hija kutoka kila mkoa kila mwaka.
Sadaka inatakiwa angalau ifike Tshs milioni mbili kwa msikiti kila wiki.
Hao wanaohonga,wanaokunywa bia,na uovu mwingine wowote,wanaingia katika wasiowajibika kwenda hija,kwasababu wameshavunja masharti kati ya masharti ya hija.Msitafute visingizio. Kila mwenye gari kuanzia Vitz mpaka VX ameshakamata dola elfu 4. Ni waislamu wangapi wenye nyumba na magari binafsi na biashara ambao hawajakwenda huko ?
Hawa wanaokunywa pombe nadhani bajeti yao ya pombe ni zaidi ya dola 4000 kwa miaka mitatu, Wanao ingia gesti kila mara nadhani bajeti yao ya gesti na kuhonga, vocha, chips, kuku kwa miaka miwili ni zaidi ya dola 4000
Mbona mnahonga nyumba ndogo mpaka magari na viwanja ? Niwaambie kitu.....
HAMJAAMUA TU KWENDA LAKINI WENGI SANA MNAO UWEZO WA KWENDA.
Hao wanaohonga,wanaokunywa bia,na uovu mwingine wowote,wanaingia katika wasiowajibika kwenda hija,kwasababu wameshavunja masharti kati ya masharti ya hija.
Sharti mojawapo ya hija ni PESA uliyoipata kwa halali,PESA uliyopata kihalali na kwa tabu,huwezi kuitumia kwa kuhonga,kunywa bia,nk