Habari jamani,ninatatizo apa matokeo ya chuo yanachelewa kuwa confirm na nacte ili nipate AVN NUMBER niapply kozi za degree sijui nifanyaje km Kuna njia yoyote msaada jamani
Wasiliana na chuo chako kama wataweza kuyatuma kwa wakati maana bila avn number kwa mtu aliyetoka diploma hautaweza kuapply chuo na mwisho ni week hii kuapply kwa dirisha la tatu wanafunga tarehe 13