Tumshukuru mungu kwa kufika Siku hii ya Leo.ni siku bora kabisa ya IJUMA KWA WALE WAUMINI WA KIISLAMU.katika vitabu vya dini zote vimeandika tupendane.hili neno linaa maana pana sana tafasri kubwa.
NENO UPENDO
Ni kuhurumiana.binafsi nimejariwa huruma,kamwe siwezi kumuacha MTU,mdudu,mnyama akitaabika nikiwa naona.naumia sana ninapo ona binadamu mwezangu akitaabika kwa namna yyte ile.pia nawachukia watu wote wenye tabia mbaya ya kuwetesa viumbe wezao bira ya sababu.kuna faida kubwa sana ukitenda wema.amini wema hauozi.
Moja ya tabia yangu katika maisha
Kutoa lifti nikiwa na gari,pkpk.
Mwepesi wa kutoa msaada ima pesa km ninayo.
Mawazo mtu akitaka ushauri.
Chakula nk.
Kutokana na hari hiyo nimeweza kusaidiwa na watu mbalimbali pindi nami ninaitaji msaada.najiamini nikiwa matembezi nahisi niko huru zaidi.tena wema kadri ya uwezavyo IPO siku nawe utandewe wema.