B babajohn Member Joined Dec 3, 2014 Posts 44 Reaction score 19 Apr 27, 2015 #1 Hivi habari ya Siti Mtemvu na kosa la kughushi umri imefia wapi? Nilidhani angechukuliwa hatua za kisheria kama wahalifu wengine!
Hivi habari ya Siti Mtemvu na kosa la kughushi umri imefia wapi? Nilidhani angechukuliwa hatua za kisheria kama wahalifu wengine!
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,281 Apr 27, 2015 #2 Kuna mikono ya wanene..... Nasikia hadi mkulu yumo. Halafu bondo mtoto wa rais ni rais na Mtoto wa mbunge ni mbunge pia hawezi kushitakiwa kwa matendo yoyote atakayofanya akiwa hai
Kuna mikono ya wanene..... Nasikia hadi mkulu yumo. Halafu bondo mtoto wa rais ni rais na Mtoto wa mbunge ni mbunge pia hawezi kushitakiwa kwa matendo yoyote atakayofanya akiwa hai
bitubaraka Member Joined Apr 21, 2015 Posts 19 Reaction score 7 Apr 27, 2015 #3 Tz kuna kitu knaitwa roho ya kurudi nyuma huwa Mambo hayafiki mwisho linazaliwa lingine (Yaani funika kombe mwanaharamu apite)
Tz kuna kitu knaitwa roho ya kurudi nyuma huwa Mambo hayafiki mwisho linazaliwa lingine (Yaani funika kombe mwanaharamu apite)
Vitaimana JF-Expert Member Joined Nov 2, 2013 Posts 3,531 Reaction score 1,570 Apr 27, 2015 #4 Mbuzi wa mfalme akila Mihogo ya mfalme hakuna kesi! angekuwa mbuzi wa MABALA THE FARM! no name, no background and history! mngesikia mwisho wake..
Mbuzi wa mfalme akila Mihogo ya mfalme hakuna kesi! angekuwa mbuzi wa MABALA THE FARM! no name, no background and history! mngesikia mwisho wake..