Acha kujastifai ww,
Mie sitakuwa na cha kumwelewesha, nadhani hiyo itakuwa ni kazi ya ndugu zake,
Mie nitakuwa busy na aliyeniona na kunikubali wakati wa shida na matatizo yangu,
Tena km ni mie miaka mitatau naenda kuvunja ndoa mahakamani nakuwa huru kuwa namtu mwingine,
Nikishakuwa huru,na pale nahama kbs sitaki,km yy kidume kweli aje kunifata nyumbani kwa mwanaume mwingine aone shuhuli yake!
Canty, sidhani kama BPM ana-justify hii issue, lkn we are just trying to look it from the other side of the coin as walivyopendana na kuamua kuishi pamoja, kama mumewe alikosea na ku-cheat, was this a justification kwamba na yeye atafute mtu wa kumpoza?? "katika shida na raha" hapa iko wapi?? na je kifo kimeshawatenganisha?? and the point was hakwenda mahakamani kuvunja ndoa so bado ni mumewe, why huwezi kusamehe??
Hapa mie nimeongelea kwa upande wangu,siwezi kuwa na mda wa kujalidili naye kitu km hiki,Canty, sidhani kama BPM ana-justify hii issue, lkn we are just trying to look it from the other side of the coin as walivyopendana na kuamua kuishi pamoja, kama mumewe alikosea na ku-cheat, was this a justification kwamba na yeye atafute mtu wa kumpoza?? "katika shida na raha" hapa iko wapi?? na je kifo kimeshawatenganisha?? and the point was hakwenda mahakamani kuvunja ndoa so bado ni mumewe, why huwezi kusamehe??
Kumbe unaelewa eeee!madabwada ni sawa lakini katika kiapo cha raha na shida pia hakijaelezea suala la kucheat ... hapa ni moyo wa mtu katika maamuzi ndo unaokuwa na nafasi zaidi, hapo uliposema hakuna aliyeenda mahakamani kwa ajiri ya kutengana ni sawa lakini bado kinahitajika huruma au maumivu ya mwenza katika maamuzi
Hapa mie nimeongelea kwa upande wangu,siwezi kuwa na mda wa kujalidili naye kitu km hiki,
Huyo muhusika maamuzi anayo yeye mwenyewe atajua amsamehe au amkatae km nilivyomshauri,
Kwa upande wangu wala asingenikuta namsubiri,miaka 7 ni mingi kwa mtu aliyetoroka na huna mawasiliano naye,
Hivo ningeshaenda mahakamani na kuolewa na mwingine sikumyingi tu,
Siwezi kuishi miaka 7 bila kuwa na mtu labda niwadanganye!
Ishu ni kumsamehe ila si kurudiana km akinikuta bado sijaivunja hiyo ndoa.
madabwada ni sawa lakini katika kiapo cha raha na shida pia hakijaelezea suala la kucheat ... hapa ni moyo wa mtu katika maamuzi ndo unaokuwa na nafasi zaidi, hapo uliposema hakuna aliyeenda mahakamani kwa ajiri ya kutengana ni sawa lakini bado kinahitajika huruma au maumivu ya mwenza katika maamuzi
Kumbe unaelewa eeee!
Asante sana,mie hapo namtoa nduki kali sana!
Akijitia ubabe namwitia mwizi tu ebo!
Kwanz atanikuta kwa mume mpya,chezea miaka saba ww!
Hapa mie nimeongelea kwa upande wangu,siwezi kuwa na mda wa kujalidili naye kitu km hiki,
Huyo muhusika maamuzi anayo yeye mwenyewe atajua amsamehe au amkatae km nilivyomshauri,
Kwa upande wangu wala asingenikuta namsubiri,miaka 7 ni mingi kwa mtu aliyetoroka na huna mawasiliano naye,
Hivo ningeshaenda mahakamani na kuolewa na mwingine sikumyingi tu,
Siwezi kuishi miaka 7 bila kuwa na mtu labda niwadanganye!
Ishu ni kumsamehe ila si kurudiana km akinikuta bado sijaivunja hiyo ndoa.
Kumbe unaelewa eeee!
Asante sana,mie hapo namtoa nduki kali sana!
Akijitia ubabe namwitia mwizi tu ebo!
Kwanz atanikuta kwa mume mpya,chezea miaka saba ww!
BPM, hizo hardles huyo mama alizopitia siyo shida kweli?? though, kiapo kiko too general but i will still argue kwamba hilo liko inclusive. Kusamehe ni muhimu, kwani siye twafanya maovu mangapi sirini na tunaamini through Allah's forgiveness, kwanini sisi tusisamehe wenzetu?? msamaha wa kweli hauna masharti ... samehe 7 mara 70 ... manake samehe mara zote
C hilo la kuwa na mahusiano mengin nakuunga mkono kama nilivyokuambia awali wewe si malaika maadam uko ok ni lazima upate kitulizo haya mengine ni ya ziada na yako ndani ya maamuzi yako
si kila kosa linatakiwa kusamehewa maana inategemea na madhara ya kosa
kama humuungi mkono katika suala lake la mahusiano, why umuunge mkono katika kutokumsamehe mumewe?? are we really that much saints??
Vp mwanamke asepe 7 yearz akirudi wanaume mtamsamehe? Mi binafsi nitamsamehe moyoni lakini akitaka rudi ndoani nitamkimbiza na sime then namimi anisamehe lakini ndoa hata akikataa she has all rights for that..
Baba X aliondoka nyumbani kwake miaka 7 iliyopita na kuambatana na nyumba ndogo yake,na kumwacha mkewe akiwa mjamzito miezi tisa na watoto wakubwa wawili, ,bila hata huruma,na hakuwa na mawasiliano yoyote kujua wife na wanawe wanaendeleaje,
,mama wa watu alijifungua mtoto wake salama maisha yakiwa magumu na kuwalea wanae kwa taabu akifanya biashara ya kuuza mboga mboga , mungu si athumani kasomesha mwanae mkubwa sasa yuko form five ,mwingine form two,Na yule alokuwa tumboni sasa yuko la kwanza ,
Juzi mama wa watu akiwa anaandaa chakula mara mmewe huyo after seven years aliyowatelekeza..
Mama kwanza alidhani kaona mzuka na kuanguka chini huku fahamu zikimpotea ,,
Baada ya kuzinduka anakuta jamaa analia huku anaomba kusamehewa.....
eti shetani ndo alimpotosha ,anatubu dhambi zake na sasa anaomba wasameheane waanze upya..:hatari:
Kama wewe ndo mwanamama ulokumbwa na dhahama hili ungefanya maamuzi gani???:A S-coffee:
kosa gani halipaswi kusamehewa mkuu??
watu wanaua, wanatoa mimba, wanafanya uchafu wote, .... je! wakitubu kweli muumba huwa hawasamehi??
kama twafanya uchafu wote huo na Muumba anatusamehe, iweje sie tusisamehe??
seven years hapana...aende tuu alikotoka..........huyo shetani saa hivi kaenda wapi???wanapenda kumsingizia sana shetani unless otherwise amshike huyo shetani mkono ampeleke kwa huyo mama na kumuonyesha shetani mwenyewe ni huyu na amekoma.