Kweli utu uzima haupigi hodi

bora umeshtukia hilo... mimi mwenyewe kinachonipa mawazo ni kuhusu kubeba mimba na wakati wa kujifungua nawaza sana

Hata usiwaze mwaya. . .
Kubeba mimba kazi rahisi tu, kuzaa kazi rahisi, kulea ndio kuna kazi kiasi. Ila kama unapenda watoto, ukijaaliwa mtoto mzuri (asiyesumbua sana) mwenye afya na uchumi wako ukiwa vizuri hata kulea hutoona ni kazi.
 
sawa mama niliona video ya kuzaa mama inaonesha inauma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…