Kweli tutasalimika na kipindupindu

mkongwe47

Member
Joined
May 2, 2014
Posts
18
Reaction score
6
Kwa hali hii tutasalimika na kipindupindu
 

Attachments

  • 1441290179168.jpg
    73.1 KB · Views: 359
chamber za agrey hizi kama sikosei
 
Hapo mjini kati ,sijui pembezoni mwa jiji hali ikoje?
 
leo jioni nimekatiza maeneo ya magomeni mataa pale kwene kituo cha kujazia mafuta
chemba imeziba maji taka yanarangi na harufu mbaya sana inatoka na inafika hadi maeneo ya karibu na geti la Hotel Travetine daaaaah
 
Kwa hali hii tutasalimika na kipindupindu

Sasa hilo ni swali au? Sikuelewi. Kwanza naona hiyo sentensi inatoa taarifa kuwa "Kwa hali hii tutasalimika na kipindupindu." Lakini nikikuchungulia nahisi hilo ni swali. Umeandika maneno yote hayo umeshindwa kuweka alama ya kiulizo tu? Hata kuandika ni shida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…