Muda huu saa kumi na mbili na dakika 50 nipo kongowe lakini hakuna basi la mkoani hata moja lillilotupita.
Wakati miaka ya nyuma muda kama huu mabasi yapo vigwaza huko au chalinze kabisa.
Kweli tochi ni hatari.
Siku hizi Dar Moro masaa 5 mpaka 6.
Kuna enzi Dar Moro masaa 2 au chini ya hapo.
Sasa hivi Dar Kongowe masaa 2 au moja na nusu.
Sababu sio tochi ila wingi wa malori na barabara mbovu

Duuh...hata hivyo tochi zimepungua saana kwani mingumi kati ya madereva na askari ilikuwa haiishi,pili madereva walikubali yaishe wakaamua kusafiri usiku tu....Fuso za Dar mikoani usiombe.