Amini usiamini jamaa mmoja alipata milion 160 baada ya kuibuka na madini ya tanzanite huko mereran miaka minne iliyopita.
Chaajab hana kitu kabsa sasa hivi, ukimpa miatano tu atakushukuru ajabu.
Kipindi amepata hela, alinunua gari ya kutembelea na kuanza kuvinjari mahoteli makubwa akiwa na mabinti wawili au watatu huku akilala nao chumba kimoja. Kila baada ya siku mbili au tatu hubadilisha wengine
Nyie viumbe wanawake kwanini mnatufanyie hivyo sisi viumbe wanaume?
FEDHA HANA WALE WALIOMCHUNA NA KUFAIDI MIHELA YAKE HAWAMTAKI TENA NA MBAYA ZAID HAOHAO NDIO WANAMCHEKA BEBY WAO KIPINDI ANAZO